mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,193
Kwahyo hata saivi ukikumbuka unalia kimyakimya?Wala simkumbushagi kabisaaa!
Sema huwa nakumbuka mwenyewe tuu kama hivi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo hata saivi ukikumbuka unalia kimyakimya?Wala simkumbushagi kabisaaa!
Sema huwa nakumbuka mwenyewe tuu kama hivi!
Mwanaume mpigaji huwa namchukilia tofauti kabisa, why tupeane ulemavu tumeshindwana kitabia kila mtu afate ustaarabu wake.Unaweza muwekea mtu sumu
Mi heri nikufume on bed ya nyumba lakini sio kipigo
Ukinipiga fanya kuniacha vinginevyo utakuwa umeleta interahamwe ndani ya nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha una hatariPapuchi anapewa adhabu ni ya kisaikolojia .....asipojiua sijui,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishakataa huo ni ujinga kama gonjwa lisilo tibika, mwanamke akikosea eti apigwe, ila mwanaume ukikosea je???? Ujinga unafanywa sana na wanaume kuliko hata wanawake, lakini adhabu apewe mwanamke!!! HuhuuuuUshakataa kwa kufanya nini mkuu??
Trully kuna time mnaboa sana hadi inafikia hatua Nimekukwida shingoni nataka nkzabe makofi nakuacha, .
Usipate mtu mwenye hasira sana boss labda ukute hufanyi ujinga ujinga na ukiambiwa unasikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄😄Usiniulize na usitegemee ntaisema popote mi ndo najua namnyooshaje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume mpigaji huwa namchukilia tofauti kabisa, why tupeane ulemavu tumeshindwana kitabia kila mtu afate ustaarabu wake.
Utakuwa mnyenyekevu sana weweNashukuru sijawahi kupigwa na naomba isitokee nachukia mno.
Saivi nikikumbuka huwa siliagi tena! Huwa natafakari tuu zile nyota zilitoka wapi?!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unajua wana K nzuri kweli alafu mnato kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahahaHahaahaaaa eti katekista
Inashangaza mkuu kuna best yangu mara yuko na alama jichoni, kesho kwenye uso huwa namshangaa sana,naona mpaka atolewe roho.Nishakataa huo ni ujinga kama gonjwa lisilo tibika, mwanamke akikosea eti apigwe, ila mwanaume ukikosea je???? Ujinga unafanywa sana na wanaume kuliko hata wanawake, lakini adhabu apewe mwanamke!!! Huhuuuu
Sjawahi na nahisi hatawahi, kosa analoweza kunipiga ni lipi sasa kwa mfano??? Nani alisema eti kwamba mwamnamke akikosea lazima apigwe?? Wangu tunapeana likizo kwa muda kila mtu na chumba chake hasira zikishuka tunaongea yanaishaa.....Hahahahaaaa
Eti wangu hanipigi,dada acha kutudanganya hapa!
Hakuna mtoto mdogo hapa ujue!
Ni kwamba,kwenye lifespan ya ndoa yako kuna mahali aidha mwanzo au whatever period,ulishawahi pewa ubatizo wa moto na kuanzia hapo una displine hujawahi mtibua kabisa!
Tunaita,knowing your position!
Kama ubatizo haujawahi fanyika,it is a matter of time lazima atakuweka sawa tu na utaelewa your position!
He is keeping up with your bullshit all this time,kuna siku lazima atakuweka sawa na mapepe yote yatakuisha na utamuheshimu mia mia!
Wewe ruka ruka tu now humu JF na uongo wako...
In here people can smell lies from miles away!
Stop acting,I have stopped movie production!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saivi nikikumbuka huwa siliagi tena! Huwa natafakari tuu zile nyota zilitoka wapi?!
CjawahiUshawahi nyanyua mkono wako kumpiga mkeo, mpenzi,Demu??
Sababu ilikuwa nini ?
Je ni sahihi kumpiga MWANAMKE/MKEO/MPENZI??
MWANAMKE USHAWAHI KUPIGWA NA MPENZI/MUME WAKO ULIJISIKIAJE?
Kama ushawahi Kumpiga mkeo/mpenzi sababu ilikuwa nini? Na baada ya hapo ulichukua hatua gani kulimaliza hilo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kinacho niokoa nikiwa nimechukia siwezi kuongea zaidi ya kilio baada ya kilio kinacho fuata hasira zimekwisha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ameshindwa kuondoka aache mautamuInashangaza mkuu kuna best yangu mara yuko na alama jichoni, kesho kwenye uso huwa namshangaa sana,naona mpaka atolewe roho.