Je umeachwa? Usilie, Jipe moyo, Songa mbele

Je umeachwa? Usilie, Jipe moyo, Songa mbele

Niliwahi kuachwa sitasahau na sitamfanyia mtu!!Sikulala wiki mbili!usingizi napata saa 11 asubuhi naninatakiwa kwenda kazini!!Mapenzi nikitu kisichopimika!!Yanauzitowake wa kipekee!!!!!!

pole sana KakaKiiza.
 
Last edited by a moderator:
daa!!kwa mara ya kwanz naamua kuachana na mpenz wangu tuliyependana sana iliniwia vigum sana,nakumbuka nlikuwa kweny paper za kumaliza kidato cha sita mwaka huu,da had npo ndan ya mtihan bado namfikiria yy tu!!lakin nliamua kupiga moyo konde!!

pole sana. Inaonekana kuwa haukuwa tayar kuachana naye. Inawezekana mazingira yaliwaachanisha au alikuacha.
 
8541699320_1a814a0485_o.jpg
 
Nivea Accept that some relationships are seasonal. Learn what they came to teach and let go when it’s time for them to leave.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom