Je umeachwa? Usilie, Jipe moyo, Songa mbele

hahaha. Wewe je? Maumivu yameisha?

weee maumivu gani???hapa mapenzi kiti cha bus wewe unashuka mwenzio anapanda mi naugulia masaa 3 tu nikishakupa maneno yako nimeshakusahau
 
hahahaha kweli kabisa, tukipata moyo huu wanawake wote tutakuwa na amani na mioyo yetu, mi napenda sana ila nabakizaga percent zangu fulanifulani just incase
 
  • Thanks
Reactions: amu
weee maumivu gani???hapa mapenzi kiti cha bus wewe unashuka mwenzio anapanda mi naugulia masaa 3 tu nikishakupa maneno yako nimeshakusahau

Kiti hcho kitakaliwa na watu wangap?
 
hahahaha kweli kabisa, tukipata moyo huu wanawake wote tutakuwa na amani na mioyo yetu, mi napenda sana ila nabakizaga percent zangu fulanifulani just incase

Kamwe hautakuwa na amani
 
huyu wa sasa hashuki maana bus limefika mwisho wa kituo till death do us apart ..AMEN
CC: Nivea
 
Last edited by a moderator:
inapungua ubora. Abiria alyepo sa hvi anashushwa lini?
hhahhaahahahah da dogo kwakutaka makombo sikuwezi unataka ashuke na wewe ukae hapo ,mpe Mungi kazi yake ya majungu uone kama hukalii kiti cha daladala
 
Last edited by a moderator:
hhahhaahahahah da dogo kwakutaka makombo sikuwezi unataka ashuke na wewe ukae hapo ,mpe Mungi kazi yake ya majungu uone kama hukalii kiti cha daladala

namsubiri nicas aje akujibuuuu kisha nikupe yako
 
hhahhaahahahah da dogo kwakutaka makombo sikuwezi unataka ashuke na wewe ukae hapo ,mpe Mungi kazi yake ya majungu uone kama hukalii kiti cha daladala

halua haina makombo. Ila cjataka ashuke il nipande
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom