Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
huyo wa kushoto nimempenda mpaka namuonea aibu! aibuuuuuuu!
copy kwa Madame B!
hivi walio ma handsome hawaachwi?
Nimekumiss......mama watoto!!hendsam halafu ana hela.......labda aniache yeye.....na nitamng'ang'ania mpaka nihakikishe nam-win back.....
Nimekumiss......mama watoto!!
khaaaa!....mwaka huu naolewa.....hujapewa kadi ya mchango.....?
single boy wa ali kiba unahusu hapaHali zenu ndugu zangu wa humu MMU? Natumaini kuwa wote mu wazima wa afya,Tumshukuru Mungu kwa ajili ya uzima na afya aliyotujalia.
Siku ya leo napenda tuongelee suala zima la uvunjikaji wa mahusiano na nini cha kufanya baada ya kuachana.. Napenda kukushauri kuwa usiwe mpweke na usiwe mnyonge.
Badala ya kujuta, kusaga meno kwa imani kwamba unaonewa, ni vizuri kutuliza kichwa, upate majibu ya mzizi wa tatizo. Inawezekana ukawa ni wewe mwenyewe, kwa hiyo hutakiwi kulia, badala yake futa machozi utazame mbele. Maisha yanaendelea.
Siku zote weka akilini kuwa jawabu la kila changamoto inayoweza kukukabili, ipo ndani ya uwezo wako mwenyewe. Kama mapenzi ni magumu kwa upande wako, ni jukumu lako kuhakikisha yanakuwa mepesi ama kwa kujirekebisha wewe mwenyewe au kuachana na mpenzi msumbufu.
Machozi yako yana thamani kubwa, hutakiwi kuyatoa kwa mtu ambaye hathamini upendo wako kwake. Amekuacha, hupaswi kujiinamia muda wote na kushindwa kufanya shughuli zako. Hebu piga moyo konde, tazama mbele kwa matumaini kwamba kila kitu kizuri kinakuja.
Makosa yako yarekebisha. Kama ulikosea na ukajirekebisha, ukaomba msamaha lakini bado hujasamehewa, vilevile usijute, tazama mbele. Hupaswi kumlimlia mpenzi aliyepita bali jenga picha tamu juu ya mwenzi wako anayekuja. Zingatia kwamba kuna waliolia Farao alipozama Bahari ya Shamu bila kujua kuwa kifo chake ndiyo ukombozi wa wana wa Israel.
Nakutakia kila heri kwenye maisha yako ya kimapenzi.
![]()
![]()
![]()
![]()
mhhhhhhh..........
............Si wote wanaotanga tanga wamepotea,.............na si wote waonekanao hapo wameachwa
kumbuka kuna kodi za nyumba, bill ya maji na umeme......anawaza atapataje madili mjini hapa na mshahara mdogo.....
Na mengi mengi kibaooooooo.............
Lazima awaze
funguka na umjibu Nicas Mtei siyo ujiegeshe kwangu eti muulize KakaKiiza
hendsam halafu ana hela.......labda aniache yeye.....na nitamng'ang'ania mpaka nihakikishe nam-win back.....
great words aisee....huwa unanibamba sana....
bado namiss sana x wang...nashndwa hata kufunguwa kurasa pya kwa wengine
daa!!kwa mara ya kwanz naamua kuachana na mpenz wangu tuliyependana sana iliniwia vigum sana,nakumbuka nlikuwa kweny paper za kumaliza kidato cha sita mwaka huu,da had npo ndan ya mtihan bado namfikiria yy tu!!lakin nliamua kupiga moyo konde!!
nipo jamani nasoma watu na maexperience yao y kuachwa wengine wanamaumivu hadi leo