Nice topic Nicas Mtei...lol
Lakini hivi wanaume huwa wanaachwa?!?
Na wakiachwa huwa wanapata msongo wa mawazo..kweli?!?
Hawa jamaa hapa naona kama wanawaza pesa, mtoto, spouce au ndugu wa karibu yuko ICU au labda kazi zimeleta stress kidogo...
Lakini suala la mwanaume kutoa machozi sababu ya kuachwa...labda kama tungekuwa Mumbay..ama New Delhi..
Mtazamo na mawazo tu.
yan mwanaume akiachwa utamwonea huruma.
Fikir mtu unaacha ila roho inakuuma,unaugua ugonjwa usioeleweka sembuse uachwe na mtu uliyempenda na kumuona ndo kila ki2 yan ni storm.
Afu kitu kingine mwanaume akiachwa na mwanamke huwa kuna vijimaneno,nyodo mwendo fulan hiv vya dharau kwa mwanaume ambavyo humfanya asijielewe.
Yalisha nikuta meng huwa nasimuliwa coz nilikuwa sijielewi kabisa.
Kuacha/kuachwa ni kubaya!
Last edited by a moderator: