Je, TV Hisense Brand zikoje?

Je, TV Hisense Brand zikoje?

Unaweza kushauri hapa aina bora kabisa ya tv pamoja nadetail zake inazotakiwa kuwanazo ili kama mtu mfuko wake uko vizur achukue
Aina bora kabisa sifa zake
-inakuwa na Kioo cha Oled ama micro Led (na baadhi ya Qled)
-resolution ya ultra HD (wengine wanaita 4k)
-kioo kinakuwa na rangi angalau Bilioni 1 ikiwa na Technology kama HDR 10 ama Dolby Vision

Mfano wa hizo
TV ni kama hizi LG cx series.

BEI zina range milioni 3 mpaka 7 hivi.
 
kibongo bongo wapi naweza nikapata genuine model ya hiyo lg chief ?
 
kibongo bongo wapi naweza nikapata genuine model ya hiyo lg chief ?
MO ndio agent wa LG Tanzania, maduka yake ama kwa certified mawakala wake.

Ana showroom Maeneo ya Nkurumah inaitwa Metl lg showroom kama sijakosea, pia yapo maduka makubwa kama Ms meghji na kkoo wapo Sai

Ingia hii list ya Google maps
 
Aina bora kabisa sifa zake
-inakuwa na Kioo cha Oled ama micro Led (na baadhi ya Qled)
-resolution ya ultra HD (wengine wanaita 4k)
-kioo kinakuwa na rangi angalau Bilioni 1 ikiwa na Technology kama HDR 10 ama Dolby Vision

Mfano wa hizo
TV ni kama hizi LG cx series.

BEI zina range milioni 3 mpaka 7 hivi.

Chief kuna CX na BX Series. Zina tofauti gani hizi ndude?
 
Chief kuna CX na BX Series. Zina tofauti gani hizi ndude?
Unaweza cheki hapa

Hakuna utofauti mkubwa sana ila kwa sisi power user cx ni nzuri sana, wengi siku hizi wanazitumia kama monitor, ama display ya gaming, pia matumizi ya kawaida ipo poa.
 
Wajuzi wa mambo, hizi Hisense B7100 A7 series 55" kioo chake ni LED au LCD? Naombeni msaada hapo, maana so far kwenye box wameandima tu "Smart 4K, UHD"......display type siioni kabisa.
 
Wajuzi wa mambo, hizi Hisense B7100 A7 series 55" kioo chake ni LED au LCD? Naombeni msaada hapo, maana so far kwenye box wameandima tu "Smart 4K, UHD"......display type siioni kabisa.
Led na lcd ni almost tech moja utofauti ni jinsi tu mwanga unaomulika kioo unavyotengenezwa.

Kama unanunua dukani mpya ni LED hio, unless ni mtumba.
 
Unajuaje hii nikutoka SA ama nchi nyingine?
Za Afrika ya Kusini imeandikwa kwenye box lake,pia wengine wanatofautisha na rangi ya boksi. SA rangi ya khaki na mchina box lake nyeupe[emoji23][emoji23][emoji23] sijajua kwa upande wa mashine tofauti yake
 
Ya china ipo vizuri sana asee[emoji119][emoji119]
 
Nina TV za Hisense tatu 55 inches nilinunua moja nikaziona ni nzuri tu ingawa resolution yake sio bora sana kama Samsung ila ni TV nzuri mno na zinatengenezwa China na nyingine South Africa. Kama unataka nzuri nunua smart zenye 4K na pia angalia kuna products nyingine ni matoleo bora zaidi ya nyingine hilo utagundua kwenye bei

Mie nilinunua ya kwanza nikakaa nayo miezi sita ikanivutia sana nikavuta nyingine na baadae nikaongeza ya tatu. Pia nina Samsung smart 32 inches pamoja na TCL 40 inches

Usishtuke kwa nini nina runinga nyingi ni kwamba nina sebure mbili na vyumba vyote nimeviwekea runinga. Nilipenda tu kuishi kistaa kama niko hotelini kumbe home

Halafu Hisense smart inch 55 usinunue zaidi ya 1,230,000.00 au kuna zingine ambazo kioo chake kimeenea mpk kwenye angle hizo usinunue zaidi ya 1,450,000.00

Karibu kwenye ulimwengu wa Hisense
na kila chumba/tv ina kingamuzi chake unalipia zote?
 
Hapa sasa jamani samsungu qled vs LG nanocell

Yupi mnyama wote 55''
 
Yani kila mmoja anaangalia channel yake chumbani au channel moja?
Ningetamani uweke maujanja hapa.
Kuna sehemu nimeona zile cable toka decorder na dish zinapitishwa kwenye madude fulani kama multi switch, satellite amplifier booster,terrestrial splitters na madude mengineyo then TV zinaungwa via coaxial cable wanafanya tuning Kwenye tv husika via UHF- VHF kama enzi za analogia au Terrestrial vitu vinatiririka.
Chennel unabadilisha utakavyo kupitia channel number za kwenye TV kama enzi zile si Decorder
mfano wa madude ni kama haya hapa pichani chini, kiukweli mimi sijui kiundani wanafanyaje fanyaje ila kuna wajuzi wenye fani zao humu watashuka kama mwewe kutoa ufafanuzi

multi switch.jpg

13-in-3-Satellite.jpg

satelitee.jpg
satelite.jpg
 
Hii tv ni brand ya sharp ni smart tv ubora wake hua sion wa kulinganisha ni nzuri sana na niliipata mtumba zanzibar, inanikosha sana sema rimoti yake ndio nimekosa laiti ningekua nauwezo wa kupata 43 ya hii tv hakika nisingenunua tv tena. Ina vineno harmn kadon pemben kwa juuView attachment 1637815
Harman Kardon ni kampuni chini ya JBL mwanzo JBL walifanya hii kampuni kama kitengo cha sounds za magari baadae ikawa inajitegemea . Umeramba dume hapo
 
Yani kila mmoja anaangalia channel yake chumbani au channel moja?
Ningetamani uweke maujanja hapa.
Kuna kitu alifunga fundi kama decoder sebuleni so kila mtu anachagua baadhi ya channell. Alinifungia fundi mmoja from Moro. Ni kama mahotelini
 
Back
Top Bottom