Je, TV Hisense Brand zikoje?

Je, TV Hisense Brand zikoje?

Unajuaje hii nikutoka SA ama nchi nyingine?
Nyuma imeandikwa made in south Africa,,
Na zipo za made in China hapo hapo south lakini sababu umenunuwa pale ndani,,
Zote hizo hutojuta,,
Mimi niliwahi kuipata moja made from south Africa...
Ni nzr sana..

Nikaja nikapata moja from America,,it was more than a shit..

Nikaamua kurudi kwenye Samsung..
 
Unajuaje hii nikutoka SA ama nchi nyingine?

Ya south ina box la kaki na china jeupe
IMG_6139.jpg

IMG_6138.jpg
 
Wakuu habari.

Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer kubwa.

Sasa kabla sijakubaliana na offer yake nimeona niulize wazoefu wa hii brand ya Hisense, ni ya kichina ama ni ya wapi, ubora wake ukoje, duratibility na mambo kama hayo.

Ahsante.
Chukua mkuu kabla hazijaanza kuchakachuliwa .

Wateja wakishakuwa wengi watapunguza baadhi ya material

Kitambaa cha futi moja fundi atatoa suruali tatu na zote modoooooo[emoji23]
 
Back
Top Bottom