Je, TV Hisense Brand zikoje?

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,320
Wakuu habari.

Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer kubwa.

Sasa kabla sijakubaliana na offer yake nimeona niulize wazoefu wa hii brand ya Hisense, ni ya kichina ama ni ya wapi, ubora wake ukoje, duratibility na mambo kama hayo.

Ahsante.
 
Mkuu!! Wewe kama moyo wako, na bajeti yako vimeshabihiana nunua unachoona!! Kwa mtazamo wangu kwa products za china vifaa vya hisense, vina ubora mzuri, kwwnye upande wa tv bwana sometimes ni kujiripua tu, na kubahatisha, kuna jamaa yangu ana hisense smart tv huu ni mwaka wa tatu inapiga kazi vizuri tu, kuna mwingine alimcheka akanunua sumsung og!! Miezi sita tu haikuisha tatizo kioo, kikaanza kutoa mstari sasa alishatupa tu!! Kwani haionyeshi tena!!! Na wanapokuambia eti ina warranty ni usanii tu!! Subiria iharibike ndio utaona kumbe bongo hakuna mambo ya warranty!!
 
Kutoka samsung kwenda Hisanse ni kujidowngrade.

Thou sio mbaya. Hisense ni kampuni ya Kichina, kuna taarifa nilishwahi ona inasema ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya china.

Kuna TVs ambazo Ni manuctured China na Nyinge ni South Afrika

Kuna mada moja imeshwahi chambua ili suala humu JF unaweza itafuta ikakufaa

Lakini mm naona sio mbaya ukachukua hiyo TV.
Chukua tuu
 
Nilikua na lg haikudumu kuna mtu akanipenyezea chukua hisense ,, na hisense now smart 4k ipo vzr sana features ni zilezle tu hakuna utofaut zaid ya brand tu. Kama unachukua hisense chukua ya china inakua na box jeupe
IMG_3516.jpg
 
Hautajutia fedha yako kununua Hisense! Nimekuwa na Hisense Tangu mwaka 2013(Ilinunuliwa china) mpaka mwaka jana ndiyo remote yake ikaharibika na bahati mbaya ile version haikuwa inaingiliana na Hisense za huku, nikatungua Hisense nyingine UHD 4K inapiga mzigo mpaka inakera
 
Changamoto ya Hisense( hizo za Tanzania) Android yake imefungwa, wanakupa tu apps mbili tatu utumie hizo hizo.

Na integemea na budget yako, sometime mchina anakuwa mzuri kwenye budget fulani, sometime vyema ununue samsung/Lg.
Okay.
 
Ungefafanua Mkuu na ja brand nzuri ya hisense ya China au south Africa.
 
Changamoto ya Hisense( hizo za Tanzania) Android yake imefungwa, wanakupa tu apps mbili tatu utumie hizo hizo.

Na integemea na budget yako, sometime mchina anakuwa mzuri kwenye budget fulani, sometime vyema ununue samsung/Lg.
vp kuhusu TCL?
TCL vs Hisense ipi ni bora?
 
Wakuu habari.

Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer kubwa.

Sasa kabla sijakubaliana na offer yake nimeona niulize wazoefu wa hii brand ya Hisense, ni ya kichina ama ni ya wapi, ubora wake ukoje, duratibility na mambo kama hayo.

Ahsante.
Hisense brand ya south Africa ,,,hutojutia mkuu,,
Brand zingine zote mashaka matupu kwenye quality ya pictures..
 
Wakuu habari.

Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer kubwa.

Sasa kabla sijakubaliana na offer yake nimeona niulize wazoefu wa hii brand ya Hisense, ni ya kichina ama ni ya wapi, ubora wake ukoje, duratibility na mambo kama hayo.

Ahsante.
Nina TV za Hisense tatu 55 inches nilinunua moja nikaziona ni nzuri tu ingawa resolution yake sio bora sana kama Samsung ila ni TV nzuri mno na zinatengenezwa China na nyingine South Africa. Kama unataka nzuri nunua smart zenye 4K na pia angalia kuna products nyingine ni matoleo bora zaidi ya nyingine hilo utagundua kwenye bei

Mie nilinunua ya kwanza nikakaa nayo miezi sita ikanivutia sana nikavuta nyingine na baadae nikaongeza ya tatu. Pia nina Samsung smart 32 inches pamoja na TCL 40 inches

Usishtuke kwa nini nina runinga nyingi ni kwamba nina sebure mbili na vyumba vyote nimeviwekea runinga. Nilipenda tu kuishi kistaa kama niko hotelini kumbe home

Halafu Hisense smart inch 55 usinunue zaidi ya 1,230,000.00 au kuna zingine ambazo kioo chake kimeenea mpk kwenye angle hizo usinunue zaidi ya 1,450,000.00

Karibu kwenye ulimwengu wa Hisense
 
Karibu kwenye ulimwengu wa Hisense.
Sawa mkuu. Ngoja niangalie inchi 58 ama 65.
 
Back
Top Bottom