Naomba Msaada wa kujua Brand bora ya TV ya kununua kwa sasa

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Ndugu wanajamiiforum

Nataka kubadili tv nichukue flat nzuri zaidi maana nilikua na Singsung nchi 25

Wakuu ni TV ni brand gani ya tv za flat ni nzuri,imara,picha nzuri, na zenye ubora?

Maana sahivi TV zimekua nyingi sana madukani na Brand tofauti tofauti

Ukiachana na Samsung, Sony, Lg, Tcl nk ambazo tv zake ni nzuri ila bei ni imechangamka kidogo, ni brand gani hizi za kichina au zisizo za kichina ambazo ni nzuri sana kwa mtu kununua?

Nataka nichukue inch 32 au inchi 40 ndo maana nauliza ni brand ipi nzuri na affordable ila nzuri kununua?
 
Ya nini kuchukua tv ya gharama, yenye uwezo wa 4K na specifications zingine Kali Kali,alaf unaenda kuangalizia sinema zetu?

Chukua tv ya kawaida tu, then kula maisha. Itadumu kutegemeana na umakini wako tu.
So Achukue ya bei gani?
 
Unajua sisi watanzania tunapenda sana kuiga maisha binafsi tv bora ni tv yenye kuendana na kipato na maisha yako ki ujumla ...

sasa unakuta mtu anakuambia ujipindee uchukue LG au Samsung au Sony wakati kwenye maintenance itakutoa ushuzii...

Nikizungumzia maintenance nazungumzia tatizo ambalo ni majanga kwa wengi,ambay kioo cha tv... je utakuwa na uwezo wa kubadilii ?? Je mfuko wa shatii inasoma?

Zipo tv zenye uwezo wa kukidhi mahitaji mfano
  • Blackstone
  • TCL
  • Hisense
  • Star x

Zenye kuleta muonekano mzuri ni nchi 28 na kuendelea 🔥
 
Unajua sisi watanzania tunapenda sana kuiga maisha binafsi tv bora ni tv yenye kuendana na kipato na maisha yako ki ujumla ... sasa unakuta mtu anakuambia ujipindee uchukue LG au Samsung au Sony wakati kwenye maintenance itakutoa ushuzii......
Nina LG yangu nchi 49 imekufa kioo, ni wapi nitapata mkuu....na bei ikoje.
 
Zitatajwa kila kampuni ila kwa sasa sijaona na sidhani kama HISENSE ana mpinzani.

ukiwatoa hao uliowataja,HAKUNA tv kukuta HISENSE.

Ila kama ni.mpenda ma TV yenye ma double glass, ukifika dukani wanalipiga piga na Remote kukuonyesha ubora wake HISENSE sio chaguo lako.

One and Only HISENSE
 
Back
Top Bottom