Je, TV Hisense Brand zikoje?

Je, TV Hisense Brand zikoje?

Hii tv ni brand ya sharp ni smart tv ubora wake hua sion wa kulinganisha ni nzuri sana na niliipata mtumba zanzibar, inanikosha sana sema rimoti yake ndio nimekosa laiti ningekua nauwezo wa kupata 43 ya hii tv hakika nisingenunua tv tena. Ina vineno harmn kadon pemben kwa juuView attachment 1637815
Boss kama unahitaji nchi 43 mimi ninayo Smart nicheki Dm tuongee biashara.
 
Wakuu habari.

Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer kubwa.

Sasa kabla sijakubaliana na offer yake nimeona niulize wazoefu wa hii brand ya Hisense, ni ya kichina ama ni ya wapi, ubora wake ukoje, duratibility na mambo kama hayo.

Ahsante.

Hisense ni nzuri Kama ilivyo Samsung; kabla ya yote rekebisha kosa lililofanya Uharibu simu
 
Hii tv ni brand ya sharp ni smart tv ubora wake hua sion wa kulinganisha ni nzuri sana na niliipata mtumba zanzibar, inanikosha sana sema rimoti yake ndio nimekosa laiti ningekua nauwezo wa kupata 43 ya hii tv hakika nisingenunua tv tena. Ina vineno harmn kadon pemben kwa juuView attachment 1637815
JBL hao nazan inatoa sound konk mno [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom