Je, TV Hisense Brand zikoje?

Je, TV Hisense Brand zikoje?

Natumia Hisense 55inch smart ya south Africa ina picha poa sana.issue tu market yake haina apps nzuri,ila kama utapata smart and android ya hisense itakuwa poa sana.
 
Most of time Ulaya na Marekani wanapelekewa Model nzuri, huku kwetu wanaleta model za kawaida. Bei pia kule wanauza rahisi.

Mfano Hisense za huku kwetu zinakuja na modified Android ambayo hata kusideload app ni kazi, ila za Us zina Roku ama Android yenye playstore.

Pia blackfriday hapa Tv zao $250 tu unapata hadi tv ya 4k na inch 65, hio ni kama laki 6 ya huku. Kibongo bongo hisense inch 65 ni milioni 2 kwenda 3.
Mkuu Chief-Mkwawa mimi kama sio mpenzi wa movie mfano netflix na zingine kuna haja ya kuwa na smart Tv.
I mean nini kingine naweza pata kwny smart tv ukiacha na movie.?
 
Wakuu habari.

Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer kubwa.

Sasa kabla sijakubaliana na offer yake nimeona niulize wazoefu wa hii brand ya Hisense, ni ya kichina ama ni ya wapi, ubora wake ukoje, duratibility na mambo kama hayo.

Ahsante.
Sasa hivi kuna SKYWORTH 4K iko powa sana, utaona thamani ya pesa yako.
 
Mkuu Chief-Mkwawa mimi kama sio mpenzi wa movie mfano netflix na zingine kuna haja ya kuwa na smart Tv.
I mean nini kingine naweza pata kwny smart tv ukiacha na movie.?
Mkuu tv inakuwa smart kiujumla,

Mfano azam tv ama star times ama dstv wana app zao ambazo unaweza ukaangalia online, kupitia hizi dishi likizingua unaweza tumia kama backup.

Pia smart zinakuwa na wifi hivyo unaweza kuangalia kwenye tv chochote ambacho kipo kwenye simu.

Unaweza angalia mpira, kucheza games, na mambo mengine yanayofanyika na smartphone.

Kama huhitaji vyote hivyo sio lazima kuwa na smart tv.
 
Hapa nimekupata mkuu. Nadhani nahitaji baadhi ya matumizi kama ulivoorodhesha hapo.
 
Mkuu Chief-Mkwawa usinichoke bro.
Naomba ushauri nataka kuchukua smart tv kama ulivoshauri hapo juu.

Sasa kuna smart na smart android unashauri nichukue ipi kati ya hizi?na hizi smart nikitaka kucheki cd au tv stations kuna option ya kuweka huko?

Natanguliza shukrani na Samahani kwa usumbufu mkuu.

N:B nasubiri ushauri wako nivute chap mkuu.
 
Smart yenye android ni nzuri zaidi, Sema usiangalie Hilo tu, angalia pia quality ya display, sauti, na mambo mengine muhimu kama terrestrial.

Pia TV kuwa smart haiondoi mambo mengine ya kawaida ya tv
 
Smart yenye android ni nzuri zaidi, Sema usiangalie Hilo tu, angalia pia quality ya display, sauti, na mambo mengine muhimu kama terrestrial.

Pia TV kuwa smart haiondoi mambo mengine ya kawaida ya tv
habari chief naomba kujua kuhusu ubora w tv za TLC inch 40 led ambazo sio smart za hapa bongo je zina ubora ?Na pia kuhusu tz za hisense zenye hiyo spec nazo zikoje?
 
Mkuu!! Wewe kama moyo wako, na bajeti yako vimeshabihiana nunua unachoona!! Kwa mtazamo wangu kwa products za china vifaa vya hisense, vina ubora mzuri, kwwnye upande wa tv bwana sometimes ni kujiripua tu, na kubahatisha, kuna jamaa yangu ana hisense smart tv huu ni mwaka wa tatu inapiga kazi vizuri tu, kuna mwingine alimcheka akanunua sumsung og!! Miezi sita tu haikuisha tatizo kioo, kikaanza kutoa mstari sasa alishatupa tu!! Kwani haionyeshi tena!!! Na wanapokuambia eti ina warranty ni usanii tu!! Subiria iharibike ndio utaona kumbe bongo hakuna mambo ya warranty!!
Sawa, kiujumla bongo bado sana kupata bidhaa madhubuti. Lakini, hilo la warranty, inategemea duka unalonunua aisee. Kuna maduka hawatanii. Sema nilichogundua ni bei. Ukikuta duka wanafanya kweli, basi utakuta ndo yale wabongo tunayakimbia kwa bei.
 
habari chief naomba kujua kuhusu ubora w tv za TLC inch 40 led ambazo sio smart za hapa bongo je zina ubora ?Na pia kuhusu tz za hisense zenye hiyo spec nazo zikoje?
Kama mdau hapo juu alivyoshauri TCL na Hisense ni wachina wenye Afadhali, kama budget ni ndogo ni TV Nzuri,

Vyema pia mkuu ukaweka model, kwa 40 inch umekosa kabisa angalau iwe Full HD,
 
Kama mdau hapo juu alivyoshauri TCL na Hisense ni wachina wenye Afadhali, kama budget ni ndogo ni TV Nzuri,

Vyema pia mkuu ukaweka model, kwa 40 inch umekosa kabisa angalau iwe Full HD,
2bad4fde28ef7b5b782e7e9e2d0fceede26e6253.jpg
ni Hisense 40 inch b5200 nyingine ni 5series fhd

0222199daa0d2d42b937ea93078e6744b655302d.jpg
 
Back
Top Bottom