Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu ana uwezo wa kupambana na rushwa na ufisadi? Historia yake inatuhakikishia hilo?

Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.

Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.

Ndipo nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?

Maendeleo hayana vyama!
Umezaliwa mwaka gani bwashee? Inaelekea wakati Tundu Lissu na makamanda wenzake walipokuwa wanapambana bungeni kufichua ufisadi
mkubwa uliofanywa na CCM kwenye EPA, Kigoda, Meremeta, Deep Green Finance, n.k ulikuwa bado chekechea.!
 
EPA iliibuka wakati Zakia Megji akiwa Waziri wa Fedha 2006.
Huyu ndie waziri wa kwanza wa Fedha wa JK na alianguka baada ya Ernest & Young kufanya uchunguzi kuthibitisha alichoibua Dr. Slaa ni kweli.

Whistle Blower wa EPA alikuwa Dr. Slaa. He was a true patriot MP ever.

Lissu kaingia bungeni 2010 wakati wa awamu ya pili ya JK.
Msimpe sifa ambazo hana.
 
Acha utani we mjukuu wa mzee mgaya: magufuli huyu si ndo amewahonga wapinzani vyeo ili waunge mkono juhudi?

Si ni magufuli huyu aliwazawadia vyeo,
kina myeti baada ya kupatikana ushahidi waliwahonga madiwani kule arushsa

Magufuli amemfuta kazi CAG mwaminifu na Mwadilifu, baada ya kuibua madudu kwenye matumizi ya umma na upotevu wa tril. 2.5

Report ya cAG 2017/2018 imesema zabuni za Tsh bili 600 zilitolewa bila kuzingatia Sheria ya manunuzi

Niishie hapo, ukweli Ni kuwa Magu hajawahi pambana na rushwa na ufisadi,
labda anapambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama kwa kizingizio Cha rushwa
ASSAD ukweli wake ukamponza!!.
 
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.

Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.

Ndipo nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?

Maendeleo hayana vyama!
Yaani wagombea ubunge kupitia CCM wameuonesha uma kua walivyokua wanasema wanapambana na Rushwa yalikua maneno tu.
Takukuru imekuja kupigilia msumari baada ya kusema wale wote waliokamatwa na rushwa wanaichia Kamati ya CCM kuamua. Wakati mahakama zipo
 
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.

Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.

Ndipo nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?

Maendeleo hayana vyama!
Bwashe TAL alipambana na uonevu na ufisadi huko Tarime akawatoa gerezani na kuzuia watu kufungwa kwa uonevu, watu 460!
 
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.

Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.

Ndipo nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?

Maendeleo hayana vyama!

Nani kafungwa kwa kesi hizo & nani kapandishwa kizimbani kwenye mahakama ya mafisadi?
lugola yuko wapi? andanganye yupo wapi?
chenge yupo wapi, tibaijuka yupo wapi, ngereja yupo wapi?
SWALI LA MSINGI.
Kwanini habari za lisu zinapingwa vikali katika media? hofu hii ni ya nini?
 
Back
Top Bottom