Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
yuko kwenye kampeni huyo.......
JF wanapiga kura jimboni kwake?
yuko kwenye kampeni huyo.......
Kuu hizo ni address za webhost na sio za utamu mwenyewe, kupata data za utamu mpaka webhost atoe ushikiano, na hilo kwa sheria za marekani ni suala gumu sana.
Mhhh unatishia mtu mzima nyau? Wewe weka wala uimwombe idhini yake
Nimepata picha zake, nimejua alisoma wapi na lini na kwa sasa anafanya kazi. Sina sababu ya kutishia sababu sioni sababu ya kufanya hivyo. Nimeomba aache upuzi wake vinginevyo nitamweka wazi hapa jf sina utani na uchafu kwani siwezi kukubali uchafu.
Kuna dogo alikuwa China aliwahi niambia kuwa wakiwa pale web ya hi5 hawaipati kwani imekuwa blocked,sasa nikajiuliza hivi kufanya hilo hapa bongo nalo linahitaji HOJA BINAFSI pale mjengoni???Ila naamini kwa tarumbeta walilopiga hao utamu kwa sasa,wakulu watazinduka.Hivi vipi sera ya Tanzania ktk haya mambo? Maana wanafunzi/watoto wadogo wanaenda cafe analipa tu 500 anaaanza kuangalia picha mbaya!
Najua nchi kama China wana mipaka..sii kila kitu kinakubaliwa! Vipi nchi zingine za Afrika jirani kama Kenya, Malawi, SA nao wana sera gani?
Je taifa letu ninasemaje over this?
huyo sauti za nanhiii anasema anawajua wamiliki wa web ile anajitengenezea njia.....hujanisoma bado tu shem?JF wanapiga kura jimboni kwake?
Mkuu raisi anachanguliwa na wananchi wengi na ndiye kiongozi wa serikali...ukilinganisha raisi na Nsia ama Masanilo uko nje ya mstari
Kwa hiyo kwa mujibu wako wewe unaona kuwa utu na heshima ya raisi vina thamani zaidi ya Nsia kwa vile tu raisi kachaguliwa na watu wengi?
wewe nawe hamnazo tu......hio ni gud news?Good news the image has been deleted so far. This guy is any bad thing you can call of.
Kabisa kabisa Raisi ni mamlaka mazee, huwezi linganisha NN na JK labda kama unataka ligi!
Mkulu
MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUTETEA HUU UDHALILISHAJI.
YEYETO ALIYEFANYA HILI HAJAMDHALILISHA RAIS TU,AMETUDHALILISHA WOTE KAMA TAIFA.
TUNALAANI.
SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.
Hata kama kuna sehemu mhe. Rais kashindwa siyo jambo zuri kufika hapa
Naona picha imetengenezwa na kubandikwa pale hiyo sasa zeutamu wanakosa heshima na maadili hata kama wanasema ukweli kwa vingine watu wajirekebishe kwa kile walichoonyesha kwa raisi sasa huo ukweli wao wote kama kuna ambao walikuwa wanauamini sidhani kama leo wataendelea tena na hadidhi zile zile -- kuna aina ya kufanya marketing ya tovuti la blogu lakini njia hii sio halali ni haramu na inachafua kabisa maadili ya tovuti au blogu husika
huwa napenda watu wanaofikiria nje ya box......kula tano mzee wa kremlinacheni double standard....
kama unakaa nchi za ulaya utaona hayo ni mambo ya kawaida picha zinachezewa marais/ waziri wa kuu wanakuwa vituko. wengi wenu humu mtakuwa mmeona picha za kina bush mara akiwa mwanamke mkafuraia na mkazani haitafika TZ.
hamna kitu muhimu kama uhuru....
wakiwakamata wenye zeutamu kwa tabia mbaya kesho itakuwa zamu
ya JF na kuwaita ma terrorist
MOD naomba urekebishe hicho kichwa cha habari kwa ajili kina majungu kwa zeutamu. hata kama zeutamu hawaandiki maadili mema lakini JF haitakiwi kushabikia kufungwa au kutokuwepo kwa zeutamu.
mimi sifurahii hiyo picha lakini hawa viongozi wetu huwa wananyanganya watu wanawake zao na kuwafukuza kazi ambacho hicho ni kitendo cha unyama kulikoni hiyo picha iliyogeuzwa.
hiyo picha ni kitu kidogo sana wala haininyimi usingizi na wala simuonei huruma kiongozi yeyote wa ngazi za juu atayefanyiwa hivi, mateso tunayopata kutokana na epa, richmond, radar, watu kufungwa pasipo hatia yanatosha na wao lazima wajue uchungu wa wananchi