Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchngu, watu kibao wamechafuliwa kule. Ila siku itakapokuwa zamu yako ama ya ndugu wako wa karibu ndio utajua kuwa ile web haifai.
We kama ni mchafu, mchafu tu. Mtu hawezi kukuchafua kama hauko karibu au ni sehemu ya uchafu.