Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

True love ipo kabisa na usiombe ikukute [emoji1] [emoji1]nimewahi kupenda asee nilianza kiutani lakini nikajikuta nimependa kupitiliza, yani sikua nahitaji chochote kwa yule dada zaidi ya uwepo wake kwangu, tulikaa 6 month bila hata sex na sikuona tatizo yani i was happy tu yeye kuwa around me dah.
Ilikua nipo tayari kukatisha chochote akinihitaji hata kama niko class natoka naenda [emoji23][emoji23][emoji23] nashukuru sup ziliniepuka tu.
Lakini ndo hivyo siku ya mwisho akarudiana na x wake nikajua na jamaa nikakutana nae lakini bado i was ready to forgive her kama angeomba msamaha ila akataka tuachane so i had to let her go ni mwaka wa 4 sasa still sijasahau namba, nashukuru sijawahi waza kumtafuta.
Na tangu hapo sijui kama nimewahi kupenda najiona nipo nipo tu bora siku ziende.
Aseeeh.
 
Inategemea.

Kwanini?

Nitakupa mfano ambao huwa nauona katika maisha. Katika maisha ukipata nafasi ukaichezea mfano umepata deal nzuri kabisa au kwenye biashara ndiyo upo kwenye kile kipindi cha kupanda halafu ukacheza na hiki kipindi kuja kufanikiwa tena ni ngumu saana.

Inatokea hivi kama utashindwa kupigana na jinamizi la lawama akilini na moyoni.

Unakuwa umeweka kumbukumbu za yule uliyempenda. Inapotokea kama alicheza na hisia zako unakuwa haupo tayari kufungua moyo kumpenda mwingine. Au labda alifariki unapomhifadhi kwa akilini na moyoni utajikuta unafikiria tunapenda mara moja tu.

Jibu la swali lako ni sio kwamba tunapenda mara moja, hapana ila inategemea na matokeo ya mahusiano yako ya awali.
Tunaludi pale pale mkuu kuwa huwa tunapenda mala moja tu,sasa mkuu ulipo sema inategemea na mahusiano ya nyuma hebu tupe mfano ambao utaonyesha mahusiano ya nyum vipi yanaweza kuleta kupenda tena mala ya pili labda hapo mm binafsi naweza kukuelewa!!!.
 
Kwa mfano Binti kampenda jamaa ambaye ana mpiga, hamjali, haongei nae vizuri ana mkaripia
Then akaja kutana na Jamaa mwingine ambaye anafanya kinyume na huyo jamaa wa kwanza
Hapo upendo utakuwa Mkubwa kwa jamaa wa pili
 
Nimependa mara mbili kwenye maisha yangu. Yule wa kwanza tulivyoachana nilijia sitopata mtu nikampenda kama yeye. Nikapata mtu nikampenda kuliko nilivyompenda yeye. Na sasa hivi kuna mkaka huku JF nampenda hadi najihisi kuchanganyikiwa.
i wish i kudu b haiGPii
 
binafisi me huwa napenda kutokana na mwenza wangu anavyo nipenda.
 
Tunaludi pale pale mkuu kuwa huwa tunapenda mala moja tu,sasa mkuu ulipo sema inategemea na mahusiano ya nyuma hebu tupe mfano ambao utaonyesha mahusiano ya nyum vipi yanaweza kuleta kupenda tena mala ya pili labda hapo mm binafsi naweza kukuelewa!!!.
Swali linasema Je, Tunapenda mara moja tu maishani jibu ni rahisi hapana.

kwanini.

-Kuna wanaopenda zaidi ya mara mbili tena wengi tusije waita "outliers". Ingekuwa tunapenda mara moja watu wengine tusingeweza kupenda zaidi ya mara moja.

Niliandika inategemea, kwanini?
Ukibeba uliyoyapitia katika penzi lililopita yatakufanya usiweze kupenda tena na usipopenda tena haimanishi umefungwa kupenda mara moja tu maishani mwako, La hasha umeyabeba yaliyopita ndiyo yanayokufanya usipende tena.

mfano, Ulimpenda Asha kwa moyo wako wote, gafla akakusaliti kwa kulala na kaka yako.

Ukamwacha leo kila mwanamke unayekutana naye unaiona sura na tabia za Asha. Hapa tatizo sio kwamba uliumbwa umpende Asha tu bali umebeba yaliyopita yanakufanya usiruhusu mwingine akuingie.
 
Kwa mfano Binti kampenda jamaa ambaye ana mpiga, hamjali, haongei nae vizuri ana mkaripia
Then akaja kutana na Jamaa mwingine ambaye anafanya kinyume na huyo jamaa wa kwanza
Hapo upendo utakuwa Mkubwa kwa jamaa wa pili
Swa mkuu lakini kauli hii itatawala san kwa mdada huyo"mkaka yule nilimpenda sana lakini...* huoni ina maana true love ilikuwa pale ila kwa sababu tu...kama hizo akaamua kuwa pembeni????
 
Kwa mfano Binti kampenda jamaa ambaye ana mpiga, hamjali, haongei nae vizuri ana mkaripia
Then akaja kutana na Jamaa mwingine ambaye anafanya kinyume na huyo jamaa wa kwanza
Hapo upendo utakuwa Mkubwa kwa jamaa wa pili
ila atakuja kumkimbia na kurudi kwa yule yule anaembutuaga ama mwanaume wa sample hio! Utashangaa yani!!!
 
Yani kwamba ntampenda mtu mmoja tu maisha yangu yote, kawa baba angu ambaye no matter what siwezi kumpa mtu mwingine upendo wake ? I learn and grow to love everyday.....
Na kweli, yule mzungu pori, bony beny nk nk nk 🙇🙇🙇🙇
 
Inategemea.

Kwanini?

Nitakupa mfano ambao huwa nauona katika maisha. Katika maisha ukipata nafasi ukaichezea mfano umepata deal nzuri kabisa au kwenye biashara ndiyo upo kwenye kile kipindi cha kupanda halafu ukacheza na hiki kipindi kuja kufanikiwa tena ni ngumu saana.

Inatokea hivi kama utashindwa kupigana na jinamizi la lawama akilini na moyoni.

Unakuwa umeweka kumbukumbu za yule uliyempenda. Inapotokea kama alicheza na hisia zako unakuwa haupo tayari kufungua moyo kumpenda mwingine. Au labda alifariki unapomhifadhi kwa akilini na moyoni utajikuta unafikiria tunapenda mara moja tu.

Jibu la swali lako ni sio kwamba tunapenda mara moja, hapana ila inategemea na matokeo ya mahusiano yako ya awali.
Penda penda.
 
True love ni myth tu.hakunaga kitu kama hicho
Mtu anakupenda kutokana Na fursa anazoziona kwako
Kama uchi
Pesa
Maisha bora
Kuwa Na family
Companion etc
Ila ule upendo wa agape ule kufa nife hakunaga
Hii ni kweli, ila kuna baadhi ya watu wanaweza kupenda hata kama hamna guarantee ya yote hayo, Only companionship! Sasa hao wa companion ndio naweza kuwa regard as true lovers! Maana ni ngumu kukaa bila mwenzio, utataka uwe nae kwa kila hali!
 
Back
Top Bottom