Kwenye maisha yangu nimependa mara moja tu ila tangu niumizwe sidhani kama ata kuna kaupendo kamebaki tena kwangu ni mwendo wa kulamba papuchi na kusepa ata demu hawe mkali vipi na kuhusu swala la wivu kwangu ni No.Habari za w.end wana mmu...
Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili bila majibu mujarab, nimeamua nililete kwenu maana penye wengi pana mengi.
Je hili suala la mapenzi yadhati ni kweli kwamba humtokea mtu mara moja tu maishani? Na ikitoke haukuoa au kuolewa na huyo wa pekee basi haitotokea upende kwa kiasi kile tena?
Yaani basi tu unakuwa na mtu ila kuwepo au kutokuwepo kwake hakupunguzi chochote kwenye maisha yako
Kwa wale ambao mliwahi kupenda kwa dhati zaidi ya mara moja tunaomba experience zenu ili kwa wale ambao imetutokea mara moja tu tupate experience maybe ikatokea tena(kama inatokea)
Karibuni wadau.
hahaa huu ugonjwa wanaumwa watu wengi sanaKwenye maisha yangu nimependa mara moja tu ila tangu niumizwe sidhani kama ata kuna kaupendo kamebaki tena kwangu ni mwendo wa kulamba papuchi na kusepa ata demu hawe mkali vipi na kuhusu swala la wivu kwangu ni No.
Mkuu kwa huu ugonjwa mi niko ICUhahaa huu ugonjwa wanaumwa watu wengi sana
Aisee " jitahidi kuzidisha huruma kwa wanawake " utaponaMkuu kwa huu ugonjwa mi niko ICU
Da mkuu yule demu aliyenitesaga kanipa usugu dadeki kidume nilifikia hatua ya kutka kujidedishaAisee " jitahidi kuzidisha huruma kwa wanawake " utapona
Aisee vijana mnapitia mazito uji dedishe kwaajili ya Mapenzi !!?Da mkuu yule demu aliyenitesaga kanipa usugu dadeki kidume nilifikia hatua ya kutka kujidedisha
Mkuu omba yasikukute asee kama hayajawahi kukutokea basi acha kabisa kupenda yaani jitahidi usije kuruhusu ukapenda kiumbe yeyoyeAisee vijana mnapitia mazito uji dedishe kwaajili ya Mapenzi !!?