Waliofanikiwa mara nyingi utakuta walkua wanafahamiana tangu wadogo/watoto.Na ikitokea kwa pande zote mbili ni raha isokifani.
Inawezekana ikawa kweli.YOLO... You Only Love Once
baada ya hapo moyo unaanza kufanya maigizo
maigizo ambayo ubongo hushindwa kuyatambua kuwa ni maigizo na kupelekea mtu kudhan kuwa ameweza kupenda tena kumbe hakuna kitu kama hicho
huo ndio ukweli niamini mm 😂😂Inawezekana ikawa kweli.
Exactlytrue love mbona inawezekana tena zaidi ya mara moja, hizo ni falsafa tu za baadhi ya watu,
mimi naamini ukiamua kupenda kweli unapenda sana tena hata zaidi ya hiyo first love.
kitu kinacho tofautisha hapo ni ile FIRST EXPERIENCE tu.
[emoji23][emoji23][emoji23].mm siwez kuapa kwamba sitapenda Tena maanaMm ishatokea Mara moja tu na nikaapa sitarudia shobo za kijinga namna ile maana kilichonikuta duuuh....maombolezo ya miezi sita......mambo ya true love nmewaachia watoto