Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Fungua moyo acha uchoyo.I love me sooo much.
Fungua moyo acha uchoyo.I love me sooo much.
kweli kabisa, wapo wateule wachache sana wanapata hii bahati ys true love.
Teh mbona na kadhalikaNa kweli, yule mzungu pori, bony beny nk nk nk [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Na kweli, yule mzungu pori, bony beny nk nk nk [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
mweeeh hao ndo hulizwa kama mbuzi aisee utawaonea huruma, mtikisiko wa uchumi ukiwadia tu jua maumivu "taari " 😂😂😂, mie naona wa kipato cha kati ndio wanalifuma sana hili true love, nisingependa kuongelea wale hoehae kabisa mana wale mtihani sana. Vismeti hivi huwa mzigo sana kwao🙄🙄🙌🙌Wanaopata hizo bahati zaidi ni wenye pesa tu
Upendo sio myth upo.Hii ni kweli, ila kuna baadhi ya watu wanaweza kupenda hata kama hamna guarantee ya yote hayo, Only companionship! Sasa hao wa companion ndio naweza kuwa regard as true lovers! Maana ni ngumu kukaa bila mwenzio, utataka uwe nae kwa kila hali!
Hahahahah aisee soulmate ndio tamu zaidi, na nadhani chimbuko lake ni true friendship! Kuhusu we na Yna sina hakika ila nadhani ni msukumo wa genye tu ama "lust" mkishavuana vyupi amna jipya mtaanza kuviziana nani aanze kumtext mwenzie!Hawa wanashindwa kutofautisha kati ya TRUE LOVE na SOUL MATE.
True love inaweza ikatokea hata mara 1,000,000,000/= kwa mtu mmoja, mfano mzuri wanawake wengi hua wana true love katika mahusiano mengi wanayoingia, wanaume hua kichwa cha juu kinapelekeshwa sana na kichwa cha chini.
Ila "Soul Mate" ndio hutokea mara moja katika maisha tu, na kwa watu wachache sanaaa duniani, wenye bahati sanaa (wengi hua haiwatokei katika maisha yao yote).
"Soul Mate" ni pale mtu anapopata mwenza ambae wanaendana kila kitu, kuanzia tabia, hisia, fikra, mapenzi, n.k (Hua hata wakiwa mbali, muda mwingine hufikiria jambo moja kwa pamoja, huyu anawaza kitu ambacho mwenzake anakiwaza pia muda huo huo).
Mfano mzuri me na yna2[emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahah hii sentensi ya mwisho imebeba tafsiri pana sana, nimekuelewa sana mkuuUpendo sio myth upo.
Huwezi kuniambia kumpenda mama/baba/mwanao/kaka/dada/mkeo ni myth.
Labda kama hauwapendi. hayo masuala ya fursa yanakuja baadae baada ya kuwapenda.
Kama ni sex ni wanawake wangapu duniani wanaweza ku offer sex?
Kama ni pesa wanaume wangapi wanaweza kutoa pesa? hivi vinakuja baadae kama umependa... na vipo katika maisha lazima tuvifanye na wenza wetu.
Tatizo upendo ni hisia ni ngumu kuziandika. Kinachotokea hawa wanaothamini saana vya ziada wamekuwa wengi na wanataka wanayoyafanya yaonrkane ni utaratibu wa maisha.
Haha ya hapa kumbe.Unataka list au?
Mengi sana mkuuAsante kwa maelezo yako.Naomba unielezee hayo mambo yaliyomo kwenye upendo wa kweli
Huyo atakuwa ana matatizoila atakuja kumkimbia na kurudi kwa yule yule anaembutuaga ama mwanaume wa sample hio! Utashangaa yani!!!
Hahahhah, kuna uhalisia maana kipindi niko broke as fuckk nilikuwa nikipata watoto independent sana, hamna kuombana hela ila toka nilipoanza kukamata mashuka ya mmasai naona type zinazowadia ni vichomi tu!mweeeh hao ndo hulizwa kama mbuzi aisee utawaonea huruma, mtikisiko wa uchumi ukiwadia tu jua maumivu "taari " 😂😂😂, mie naona wa kipato cha kati ndio wanalifuma sana hili true love, nisingependa kuongelea wale hoehae kabisa mana wale mtihani sana. Vismeti hivi huwa mzigo sana kwao🙄🙄🙌🙌