True love ni myth tu.hakunaga kitu kama hichoHahahaaa!! Kwanini kuwe na true friendship alafu kusiwe na true love?
Nitakujibu hivi. Ni mara wale waliopitia TRUE LOVE wengi hawajaoana/hawako pamoja. Mimi nina miaka 42 sasa. Nina bahati ksbb nilipitia hiyo TRUE LOVE tena ile deeply love,nikiwa na miaka 26. Bahati mbaya nilikuwa bado sijawa sawa kimaisha na huyo mwenzangu alikuwa mwanafunzi wa boading mbali kabisa na wazazi wake . Alipomaliza kidato cha 4,ilibidi asafiri mpaka mkoa mwingine kuungana na familia yake. Kumbuka muda huo ilikuwa kipindi cha analogies kuwasiriana mpaka barua tu,sio kama sasa (wengi kipindi hicho walikuwa wanapotezana ksbb ya mawasiriano yalikuwa hafifu). Huko akasafiri nje ya nchi zaidi ya miaka 8 (hiyo inatosha mtu kuanzisha relationship nyingine ksbb kwanza hajui yule anaempenda kwa dhati kama wataonana tena ksbb ya mawasiriano.). Akarudi Tz akajaribu kunitafuta bila mafanikio. Mimi nikaoa na yeye akaolewa. (kumbuka hapo kabla ya kuoa nimepitia mahusiano mengine mengine,lakini katika vyote nilikuwa namkumbuka sana saaaaana yeye,na yeye huko alikuwa anahangaika sana moyoni mwake kuhusu mimi ).Mwaka 2007 kipindi ambacho mawasiriano ya digital yakawa yameshamili,tukafanikiwa kukutana tena. (Lakini tumekutana tena huku kila mmoja ana familia.)(mpaka mke wangu anajua kwamba niliekuwa nampenda kwa dhati duniani ni huyo mmoja). (Kwa mambo yaliyopitia pitia sana hapo nyuma,natamani niiweke katika mtiririko wa filamu hivi)true love na msisimko mkali wa balehe na hormone za ujana ni vitu viwili tofauti, hakuna changamoto inayoweza kupoteza true love zaidi ya kifo na hata mtu akifa utaendelea kumpenda na kummiss, kupoteana kwa muda fulani hakupotezi true love. Na ikitokea mkajichanganya kuolewa au kuoa na watu wengine basi hiyo sio true love
[emoji28][emoji28][emoji28]Basi ndio maana, mimi nakula ujue!! Hivyo uache roho mbaya.
Umesema mkeo anajua, je wewe ndio ulimwambia?Nitakujibu hivi. Ni mara wale waliopitia TRUE LOVE wengi hawajaoana/hawako pamoja. Mimi nina miaka 42 sasa. Nina bahati ksbb nilipitia hiyo TRUE LOVE tena ile deeply love,nikiwa na miaka 26. Bahati mbaya nilikuwa bado sijawa sawa kimaisha na huyo mwenzangu alikuwa mwanafunzi wa boading mbali kabisa na wazazi wake . Alipomaliza kidato cha 4,ilibidi asafiri mpaka mkoa mwingine kuungana na familia yake. Kumbuka muda huo ilikuwa kipindi cha analogies kuwasiriana mpaka barua tu,sio kama sasa (wengi kipindi hicho walikuwa wanapotezana ksbb ya mawasiriano yalikuwa hafifu). Huko akasafiri nje ya nchi zaidi ya miaka 8 (hiyo inatosha mtu kuanzisha relationship nyingine ksbb kwanza hajui yule anaempenda kwa dhati kama wataonana tena ksbb ya mawasiriano.). Akarudi Tz akajaribu kunitafuta bila mafanikio. Mimi nikaoa na yeye akaolewa. (kumbuka hapo kabla ya kuoa nimepitia mahusiano mengine mengine,lakini katika vyote nilikuwa namkumbuka sana saaaaana yeye,na yeye huko alikuwa anahangaika sana moyoni mwake kuhusu mimi ).Mwaka 2007 kipindi ambacho mawasiriano ya digital yakawa yameshamili,tukafanikiwa kukutana tena. (Lakini tumekutana tena huku kila mmoja ana familia.)(mpaka mke wangu anajua kwamba niliekuwa nampenda kwa dhati duniani ni huyo mmoja). (Kwa mambo yaliyopitia pitia sana hapo nyuma,natamani niiweke katika mtiririko wa filamu hivi)
Isiwe tabu, njoo nikupikie madame!Sio uishie kucheka tu!!
Isiwe tabu, njoo nikupikie madame!
Nimependa mara mbili kwenye maisha yangu. Yule wa kwanza tulivyoachana nilijia sitopata mtu nikampenda kama yeye. Nikapata mtu nikampenda kuliko nilivyompenda yeye. Na sasa hivi kuna mkaka huku JF nampenda hadi najihisi kuchanganyikiwa.
Hahaha wewe ndio uko vizuri
True love ni myth tu.hakunaga kitu kama hicho
Mtu anakupenda kutokana Na fursa anazoziona kwako
Kama uchi
Pesa
Maisha bora
Kuwa Na family
Companion etc
Ila ule upendo wa agape ule kufa nife hakunaga
Kwa maandiko haya niseme tu Huyu anaeninyemelea atakua na true lovePia ni ile hali ya kuweza kuyakubali na kufukia mapungufu yote alionayo mwenza wako. Bila kujali jamii inamuonaje au ina mzungumziaje
Kwanini mkuu?
1. Mke wangu alinijua kupitia mahusiano ya mimi na huyo ninaemzungumzia. Uhusiano wetu ulishamili sana kiasi kwamba kwa upande wa huku kipindi hicho,ndio ilikuwa copy moja babkubwa. (mfano aliwahi kuchapwa na staff nzima ksbb alichora jina langu na lake ubaoni,mimi naitwa R yeye N. akachora R wa N,N wa R)(lakini tulikuwa hatusomi pamoja)(hiyo ni baadhi tu ya tuliyopitia,ni mengi sana). Kwa hiyo tulivuma sana. Wenyewe walikuwa ni wasabato na mke wangu ni msabato kwa hiyo walikuwa na vipindi vyao wanakutana wanaweka kambi mahala fulani wanafunzi wote wa kisabato. Vipindi vya mikusanyiko kama hiyo mke wangu alikuwa kila mara ananiona na N. Akavutiwa sana na hiyo copy yetu,kwa hiyo baadae sana ikawa ndio mwanzo wa mimi na mke wanguUmesema mkeo anajua, je wewe ndio ulimwambia?
Je hamkuwahi kukumbushia?
Hawa wanashindwa kutofautisha kati ya TRUE LOVE na SOUL MATE.Hivi true love [emoji3][emoji3]true love khaa
[emoji23][emoji23]Hawa wanashindwa kutofautisha kati ya TRUE LOVE na SOUL MATE.
True love inaweza ikatokea hata mara 1,000,000,000/= kwa mtu mmoja, mfano mzuri wanawake wengi hua wana true love katika mahusiano mengi wanayoingia, wanaume hua kichwa cha juu kinapelekeshwa sana na kichwa cha chini.
Ila "Soul Mate" ndio hutokea mara moja katika maisha tu, na kwa watu wachache sanaaa duniani (wengi hua haiwatokei katika maisha yao yote).
"Soul Mate" ni pale mtu anapopata mwenza ambae wanaendana kila kitu, kuanzia tabia, hisia, fikra, mapenzi, n.k (Hua hata wakiwa mbali, muda mwingine hufikiria jambo moja kwa pamoja, huyu anawaza kitu ambacho mwenzake anakiwaza pia muda huo huo).
Mfano mzuri me na yna2[emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]