SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,478
- 10,548
Nakumbuka nilipojiunga 2022 nilijitanga i am new here .
Nilipataga mwanaume mzuri sana shida ikaja alikuwa kaoa na mchagga huyo alikuwa anataka anioe mke wapili ila ......
Ila sijaweza maana hana nguvu zakiume na nimzee .
ILikuwa ni kiburi changu tu ila sijawahi pata baba mzuri vile anacare nilikuwa na kiburi cha pesa.
nadhani ningekubali kwa raha zile saizi ningekuwa dubai nakunywa chai ya waarabu ..
Mzee ni handsome rangi ya chocolate tajiri anaendesha vogue acha tu mara ingine na mmisi dady maana ni mtu mzee sana 55 .
Aliniacha maana alinipenda kwa sharti moja niwe mke wake nasio mchepuko . Na mmisigi hatari ....
Nimewahi pendwa ila huyu ni kiboko naisi hata kama ninaye hamzidi huyuu kwa kunijali.
Alinipenda sana . Mmewahi lala sehemu hadi unakataa kuamka ili usiondoke.
I miss u my love my only love sweety one