Sio kweli kwa maana kwa kila muda unawekewa mtu wakukupenda sema tatizo sio upendo ule ule maana ni watu tofauti.Habari za w.end wana mmu...
Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili bila majibu mujarab, nimeamua nililete kwenu maana penye wengi pana mengi.
Je hili suala la mapenzi yadhati ni kweli kwamba humtokea mtu mara moja tu maishani? Na ikitoke haukuoa au kuolewa na huyo wa pekee basi haitotokea upende kwa kiasi kile tena?
Yaani basi tu unakuwa na mtu ila kuwepo au kutokuwepo kwake hakupunguzi chochote kwenye maisha yako
Kwa wale ambao mliwahi kupenda kwa dhati zaidi ya mara moja tunaomba experience zenu ili kwa wale ambao imetutokea mara moja tu tupate experience maybe ikatokea tena(kama inatokea)
Karibuni wadau.
hakuna ambaye hajawahi kupenda mkuu " Shida ni kupenda ukakubali kuupa Moyo kazi ya kufikiri katika masuala yako ya mahusiano badala ya kuuachia ubongo uendelee kutenda kazi hiyoMkuu omba yasikukute asee kama hayajawahi kukutokea basi acha kabisa kupenda yaani jitahidi usije kuruhusu ukapenda kiumbe yeyoye
Wakikujibu unitag tafadhaliHivi true love ni nin?
Mpaka sasa hvi wanarukaruka tu ila usjal ntakutagWakikujibu unitag tafadhali
Shukrani, ngoja tuwasubiri labda bado wanatafakari kwanzaMpaka sasa hvi wanarukaruka tu ila usjal ntakutag
Kwa kweli......ipo tu kwenye zile video za kuigizaTrue love is a Myth
Tuseme baada yakupitia relationship nyingi na break up nyingi unakuja kujua kua iyo True love haipo na haitaka itokee.. Tunapendana kimazoea tu. Nothing more nothing less..Kwa kweli......ipo tu kwenye zile video za kuigiza
za mimi nzuri tu,Sijambo! Za wewe?
Eti 'True Love' ni nini?
Pia ni ile hali ya kuweza kuyakubali na kufukia mapungufu yote alionayo mwenza wako. Bila kujali jamii inamuonaje au ina mzungumziajeza mimi nzuri tu,
"true love" wanasema ni sawa na "unconditional love"
"unconditional love" wanasema ni ule upendo usio angalia chochote kitu ambacho mimi nakipinga kwasababu naamini mpaka kufikia kumpenda mtu basi lazima kuna kitu au vitu vimekufanya umepende mtu huyo...
hicho kitu/vitu tunaweza kusema ni CATALYST ktk mapenzi.
na hizo catalyst zinatofautiana kwa mtu na mtu....pia zinaweza kuwa natural yani zile ambazo umetokea tu kuzipenda na zipo ambazo mtu anaweza akajiamulia tu ziwe catalyst kwa mtu fulani.
sijui nimeeleweka!! [emoji67]
Njoo tuwasikilize washaanza kuleta majibu Bonnyza mimi nzuri tu,
"true love" wanasema ni sawa na "unconditional love"
"unconditional love" wanasema ni ule upendo usio angalia chochote kitu ambacho mimi nakipinga kwasababu naamini mpaka kufikia kumpenda mtu basi lazima kuna kitu au vitu vimekufanya umepende mtu huyo...
hicho kitu/vitu tunaweza kusema ni CATALYST ktk mapenzi.
na hizo catalyst zinatofautiana kwa mtu na mtu....pia zinaweza kuwa natural yani zile ambazo umetokea tu kuzipenda na zipo ambazo mtu anaweza akajiamulia tu ziwe catalyst kwa mtu fulani.
sijui nimeeleweka!! [emoji67]
exactly, huko ndio kuamua sasa.Pia ni ile hali ya kuweza kuyakubali na kufukia mapungufu yote alionayo mwenza wako. Bila kujali jamii inamuonaje au ina mzungumziaje
Swali langu ni je, huo upendo mnajikuta wote wawili mkiwa nao au hata kama uko kwa mmoja bado ni 'True-Love'za mimi nzuri tu,
"true love" wanasema ni sawa na "unconditional love"
"unconditional love" wanasema ni ule upendo usio angalia chochote kitu ambacho mimi nakipinga kwasababu naamini mpaka kufikia kumpenda mtu basi lazima kuna kitu au vitu vimekufanya umepende mtu huyo...
hicho kitu/vitu tunaweza kusema ni CATALYST ktk mapenzi.
na hizo catalyst zinatofautiana kwa mtu na mtu....pia zinaweza kuwa natural yani zile ambazo umetokea tu kuzipenda na zipo ambazo mtu anaweza akajiamulia tu ziwe catalyst kwa mtu fulani.
sijui nimeeleweka!! [emoji67]
Hahaa, demu alienda kwa msela mwingine?Da mkuu yule demu aliyenitesaga kanipa usugu dadeki kidume nilifikia hatua ya kutka kujidedisha
Ndio mkuu alafu mshikaji kala mzigo kasepa baadae anakuja kujililisha kwangu nikamfyekelea mbali dadekiHahaa, demu alienda kwa msela mwingine?