Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Sio kweli kwamba hutokea mara nyingi ila inaweza kuonekana inatokea mara moja,waswahili walivyosema uliyeumwa na nyoka hata jani litamstua ndo kinachotokea mtu anapopenda kwa mara ya kwanza ataingia mzima mzima anaamini ndo kafika kwahiyo ile true love hapo inaonekana yaani hata mbele za watu haogopi wala hafichi chochote anajiproud sana lakin likitokea lakutokea mkatengana hapo ndo mtu anajua duni huwa inazunguka so hata akijakupenda kwa dhati bado ataweka mguu moja nje yaani anajihami sana so ile true love haionekani na hivyo inavyokuwa maisha
 
Inategemea.

Kwanini?

Nitakupa mfano ambao huwa nauona katika maisha. Katika maisha ukipata nafasi ukaichezea mfano umepata deal nzuri kabisa au kwenye biashara ndiyo upo kwenye kile kipindi cha kupanda halafu ukacheza na hiki kipindi kuja kufanikiwa tena ni ngumu saana.

Inatokea hivi kama utashindwa kupigana na jinamizi la lawama akilini na moyoni.

Unakuwa umeweka kumbukumbu za yule uliyempenda. Inapotokea kama alicheza na hisia zako unakuwa haupo tayari kufungua moyo kumpenda mwingine. Au labda alifariki unapomhifadhi kwa akilini na moyoni utajikuta unafikiria tunapenda mara moja tu.

Jibu la swali lako ni sio kwamba tunapenda mara moja, hapana ila inategemea na matokeo ya mahusiano yako ya awali.
 
Sio kweli kwamba hutokea mara nyingi ila inaweza kuonekana inatokea mara moja,waswahili walivyosema uliyeumwa na nyoka hata jani litamstua ndo kinachotokea mtu anapopenda kwa mara ya kwanza ataingia mzima mzima anaamini ndo kafika kwahiyo ile true love hapo inaonekana yaani hata mbele za watu haogopi wala hafichi chochote anajiproud sana lakin likitokea lakutokea mkatengana hapo ndo mtu anajua duni huwa inazunguka so hata akijakupenda kwa dhati bado ataweka mguu moja nje yaani anajihami sana so ile true love haionekani na hivyo inavyokuwa maisha
Ni kweli ila tuna tofautiana.
Kama mimi ukini vunja moyo ni kama umeniambia ni Double love for the next relationship.. Yani nita hakikisha atakae fata nitampenda kiasi kwamba yeye ndie atakua jibu kwako
 
Hivi kupenda ni kuamua au huja auto au kwa vitu flan flan ukifanyiwa?
Mi navyofahamu kupenda ni hisia tu, true love ni mazoea yanayojengeka tokana na hizo hisia baina yenu ikitokea mmoja wenu akakatisha supply (reciprocating) ndio matatizo huanzia hapo!
 
Sasa true love halafu mnaachana? True love never ends! Mahali ambapo msisimko wa mapenzi unakuwepo hata nyakati za magonjwa kama kupooza, kansa, kufilisika n. K, kunapotokea. Kifo tu ndio kinawaachanisha, vinginevyo usiite true love, Wenye true love hawaachani.
Sio kwa hawa binadamu wa kitanzania aisee! Kwetu true love ipo kwa wazazi tu, raia kwao biashara unajaliwa ukiwa una manufaa yakiisha au kupungua zinaanza kero!
 
Sio kwa hawa binadamu wa kitanzania aisee! Kwetu true love ipo kwa wazazi tu, raia kwao biashara unajaliwa ukiwa una manufaa yakiisha au kupungua zinaanza kero!
Unconditional love kwa binadamu ni mgumu saana....Na haupo.

Tunagombana na kutofautiana mara nyingi.
 
True love ipo kabisa na usiombe ikukute [emoji1] [emoji1]nimewahi kupenda asee nilianza kiutani lakini nikajikuta nimependa kupitiliza, yani sikua nahitaji chochote kwa yule dada zaidi ya uwepo wake kwangu, tulikaa 6 month bila hata sex na sikuona tatizo yani i was happy tu yeye kuwa around me dah.
Ilikua nipo tayari kukatisha chochote akinihitaji hata kama niko class natoka naenda [emoji23][emoji23][emoji23] nashukuru sup ziliniepuka tu.
Lakini ndo hivyo siku ya mwisho akarudiana na x wake nikajua na jamaa nikakutana nae lakini bado i was ready to forgive her kama angeomba msamaha ila akataka tuachane so i had to let her go ni mwaka wa 4 sasa still sijasahau namba, nashukuru sijawahi waza kumtafuta.
Na tangu hapo sijui kama nimewahi kupenda najiona nipo nipo tu bora siku ziende.
 
Back
Top Bottom