Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Ni imani tu hakuna tofauti na kuamini ushirikina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
espy wengi wetu tumependa mara mbili, wa kwanza kukubingirisha na mwingine ni yule uliyeweza kufanya nae wild stuff, simaanishi bata la hasha, uliyefanya nae mambo madogo madogo ya ajabu hadi unajiuliza ilikuaje. Hawa ni watu hatari sana kama umeamua kuanzisha mahusiano mengine ya muda mrefu au familia. Kaa nao mbali.
 
Hakuna namna ksbb ndie niliemuoa na niliapa sitamuacha. Changamoto nyingine ninayopitia,katika kukua kwangu,nilikuwa naongea na walionizidi umri. Wengi wao nikawaona wakiacha wake zao wa kwanza,hiyo ikanitokea kwamba niweke nadhiri mimi nikioa sitaacha mke kwa lolote (isipokuwa nikapata uhakika amenicheat). Nampenda kwa asilimia zilizopo
Hio ndio inatufanya wanaume tuache ndoa! Bonge moja la dharau kutoka kwa wife,
 
Hahahhah, kuna uhalisia maana 😂😂😂kipindi niko broke as fuckk nilikuwa nikipata watoto independent sana, hamna kuombana hela ila toka nilipoanza kukamata mashuka ya mmasai naona type zinazowadia ni vichomi tu!
😂😂😂😂
 
Nawaza tuu kwa wale ambao wanakuwa desparate na ndoa then wanaoa au kuolewa kwa bashasha kabisa. Halafu baada ya miaka 4/5 akakutana na the so called True Love..... Hivi hiki nilichoandika huwa kipo pia katika hizi ndoa zetu za kisasa??
Kipo na ndoa nyingi zimevunjika kwa style hio! Watu wanabinjuana sana maofisini,
 
Hahahah hii sentensi ya mwisho imebeba tafsiri pana sana, nimekuelewa sana mkuu
labda hiyo unconditional ndiyo ngumu kutimiza.

Kuna katoto kamoja huwa tunakutana sehemu nakapenda saana hadi wazazi wake na vitoto vyenzake vinajua.

Mimi ukiniuliza nakapendea nini sijui maana hata kufaidika nako sifaidiki. Ni mtoto ambaye kwangu ni kama mwanangu.

Mwanzo nilikuwa sijui kama nakapenda hadi nilipoanza kupata malalamiko ya wenzake kwamba nikitoka nao nakapendelea...Nilikubali malalamiko.

Sasa utajiuliza kama tunapenda watu kulingana na tuvyofaidika nao, huyu nafaidika naye nini! sex siwezi, pesa hakawezi kunipa,.......
 
Hahahahah aisee soulmate ndio tamu zaidi, na nadhani chimbuko lake ni true friendship! Kuhusu we na Yna sina hakika ila nadhani ni msukumo wa genye tu ama "lust" mkishavuana vyupi amna jipya mtaanza kuviziana nani aanze kumtext mwenzie!
Hahaha hio kuhusu mimi na yna2 ni utani tu, napenda kumtania kama rafiki ila sio serious hivo unavyofikiria mkuu.
 
Kwahiyo inatokea mara mbili tu!!!
espy wengi wetu tumependa mara mbili, wa kwanza kukubingirisha na mwingine ni yule uliyeweza kufanya nae wild stuff, simaanishi bata la hasha, uliyefanya nae mambo madogo madogo ya ajabu hadi unajiuliza ilikuaje. Hawa ni watu hatari sana kama umeamua kuanzisha mahusiano mengine ya muda mrefu au familia. Kaa nao mbali.
 
a e i o u....

Back
Top Bottom