Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Hilo ni kweli kabisa. TRUE LOVE inatokea mara moja tu. Mengine ni maigizo tu. Inaweza ikatokea mtu akawa hajampata anaempenda mpaka maisha yake yote,huyo atajua mapenzi yako hivyo hivyo tu ya kawaida tu kulingana na wale aliobahatika kuwepo nao. Wengi inakuwa ni vigumu kugundua kwamba kuna mahala alipitia kwenye true love,kafuatana na kuchanganywa na mapenzi mengine mengine mbele baada ya ile true love. Na mara nyingi sana TRUE LOVE huwa inatokea kipindi cha ujana ambacho kila mmoja hajajipanga kuishi na mwenzie. Kwa hiyo matokeo yake ikifika kipindi cha kuoa/kuolewa utakuta wote walishapotezana,kwa hiyo kila mmoja anaoa/kuolewa kusiko na True love
Nimekuelewa sana mkuu, shukrani.
 
Countless times na bado naendelea madame!
Mi sijakula tangu nizaliwe, jikaze ndio ukubwa huo!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sasa nimepata majibu, hivi aliens huwa wanakula?
 
Hilo ni kweli kabisa. TRUE LOVE inatokea mara moja tu. Mengine ni maigizo tu. Inaweza ikatokea mtu akawa hajampata anaempenda mpaka maisha yake yote,huyo atajua mapenzi yako hivyo hivyo tu ya kawaida tu kulingana na wale aliobahatika kuwepo nao. Wengi inakuwa ni vigumu kugundua kwamba kuna mahala alipitia kwenye true love,kafuatana na kuchanganywa na mapenzi mengine mengine mbele baada ya ile true love. Na mara nyingi sana TRUE LOVE huwa inatokea kipindi cha ujana ambacho kila mmoja hajajipanga kuishi na mwenzie. Kwa hiyo matokeo yake ikifika kipindi cha kuoa/kuolewa utakuta wote walishapotezana,kwa hiyo kila mmoja anaoa/kuolewa kusiko na True love
true love na msisimko mkali wa balehe na hormone za ujana ni vitu viwili tofauti, hakuna changamoto inayoweza kupoteza true love zaidi ya kifo na hata mtu akifa utaendelea kumpenda na kummiss, kupoteana kwa muda fulani hakupotezi true love. Na ikitokea mkajichanganya kuolewa au kuoa na watu wengine basi hiyo sio true love
 
Hivi kupenda ni kuamua au huja auto au kwa vitu flan flan ukifanyiwa?
vyote tu,
inaweza ikaja auto nikakupenda alafu nikajua upo na mtu unaempenda/umeolewa itabidi nikinzane na hiyo auto sasa....nitaamua.

inaweza isije auto ila kwa vitu flan flan ukianifanyia nikaamua nikupende na nikakupenda.
 
true love na msisimko mkali wa balehe na hormone za ujana ni vitu viwili tofauti, hakuna changamoto inayoweza kupoteza true love zaidi ya kifo na hata mtu akifa utaendelea kumpenda na kummiss, kupoteana kwa muda fulani hakupotezi true love. Na ikitokea mkajichanganya kuolewa au kuoa na watu wengine basi hiyo sio true love
"Haipotei hata mtu akifa"
Wow!
 
Nimependa mara mbili kwenye maisha yangu. Yule wa kwanza tulivyoachana nilijia sitopata mtu nikampenda kama yeye. Nikapata mtu nikampenda kuliko nilivyompenda yeye. Na sasa hivi kuna mkaka huku JF nampenda hadi najihisi kuchanganyikiwa.
not true love hiyo my cis'. Tofautisha kumpenda mtu sana na true love, kinachotokea kwako ni kichochezi chako cha mapenzi kuwa juu wakati wa mapenzi na mtu husika, true love never come twice! And... It never end!
 
Habari za w.end wana mmu...

Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili bila majibu mujarab, nimeamua nililete kwenu maana penye wengi pana mengi.

Je hili suala la mapenzi yadhati ni kweli kwamba humtokea mtu mara moja tu maishani? Na ikitoke haukuoa au kuolewa na huyo wa pekee basi haitotokea upende kwa kiasi kile tena?
Yaani basi tu unakuwa na mtu ila kuwepo au kutokuwepo kwake hakupunguzi chochote kwenye maisha yako

Kwa wale ambao mliwahi kupenda kwa dhati zaidi ya mara moja tunaomba experience zenu ili kwa wale ambao imetutokea mara moja tu tupate experience maybe ikatokea tena(kama inatokea)

Karibuni wadau.

Unachosema true love ni cinderella stories tu.

Ni strong feeling ya tamaa tu...
 
Nimependa mara mbili kwenye maisha yangu. Yule wa kwanza tulivyoachana nilijia sitopata mtu nikampenda kama yeye. Nikapata mtu nikampenda kuliko nilivyompenda yeye. Na sasa hivi kuna mkaka huku JF nampenda hadi najihisi kuchanganyikiwa.
I see!! Naona lile hitaji lako likuwa fullfiled.
Hivi humu jf mnawezaje kupendana!! Kwangu bado ni msamiati eti!!!
 
Lakini aliludi kipindi ambacho maumivu yalishaisha na mimi nimevuta chombo mupya tena kikali zaidi yake nilimfyekelea mbali lakini bado nampenda kwa kweli niseme wazi
Swadaktaa

Siku zote huwa nawambia watu kumpenda mtu sio lazima awe mzuri ama mrembo sanaaa.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kumpenda mtu na uzuri wake.
Japo uzuri huchangia katika kupenda mtu.

Nathibitisha zaidi kwa maneno yako ya mwisho hapo "japo unampemda"ingawa sio mzuri kama chombo chako kipya.

Ahsante mkuu wa kuthibitisha nadharia yangu.
 
Lipi hilo tena?? kupendana huku ni jwa kutegeana. Kila mtu hamuamini mwenzako. Kama kamari tu
Naukumbuka ule uzi wako wa "natanani kupenda tena".

Kwakweli mimi sidhani naweza kumuamini ntaishia kumtegea hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom