Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,062
- 20,443
Hii ajali imetokea tarehe 11-4-2024 Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa na trafick sehemu hatari isiyo ya ukaguzi kukiwa na utelezi na ukungu kwa ajili ya ukaguzi usio rasmi, hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo,Poleni sana aisee na Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya.
Eneo hilo kuna kona kali, kulikuwa na utelezi wa mvua lakini ukungu ambapo dereva hawezi kuona zaidi ya mita 50 mbele.
Sasa, kwanini trafiki wanakagua magari sehemu yeyote, ukaguzi huo unasemekana gari inasimamishwa, utingo anashuka na kwenda kushikana mkono na trafiki huku wakirudi wanaongea wenyewe.
Sasa , huo ukaguzi anafanyiwa utingo au gari?
Imekuwa wazi kabisa kwa Dar es salaam, viongozi wote wa nchi wanaona isipokuwa wanaopitita kwa ?M<isafara yani Mh.SS Hassan, Majaliwa-PM, Mpango na wengine wachache wa Usalama lakini the rest wanaona traffick anasimamisha daladala, linampita kondakta anaruka kuwarudia trafik, wanafungua ki-diary chao wanarekodi sijui kitu gani then konda anarudi mbio kwenye gari .
Trafiki akikamata gari ndogo hata kama ndio imetoka yard anataka :-

- Stika nenda kwa usalama.
- Triangle reflector.
- Dustbin.
- Fire extinguisher.
- First Aid kit.
Yaani unamwambia mtu gari yako haifai kuwa barabarani, unampiga faini ya elfu 30 then aondoke tena safari ya masafa marefu? [hii ni akili ama tope]?
Unakuta gari haina stika, well, kama unapenda usalama barabarani, kwanin unachukua elfu tatu then unamwachia aende?
Je, baada ya kuchukua elf 3 gari inakuwa nzima? Mnajali usalama wa abiria?
WAziri wa Mambo ya ndani hii idara ipo chini yako, kama ukishindwa basi abiria watamwomba Makonda awasaidie, maana mfumo umeshindwa! Makonda hata kama ni mkuu wa Mkoa Arusa ila hili ataliweza, mana mfumo umeshindikana.
______________________________________________________________________________________
Daladala za Dar es salaam, Masaki- Ubungo[simu 2000],Masaki Kariakoo- hazina taa, ndani dash board haiwaki yani hakuna spidi mita, chech engine , oil wala chochote na zimeoza na mvua ikinyesha zinavuja ila unaambiwa LATRA ikisha zinapewa leseni mpya, kila mwaka zinapewa STIKA YA NENDA KWA USALAMA, zinatoa eld 3 kila kituo asubuhi zikipita na haya makusanyo huwa yanaishia saa nne asubuhi.
____________________________________
Daladala na Bajaji zimeanza tabia ya kupakia na kushusha kwenye Zebra, inasababisha ajali nyingi sana and no one cares, unakuja spidi ya kawaida unafikir watu wanavuka kumbe bajaji inashusha kwenye zebra, tutaendela na wasiamamizi wabovu mpaka lini?
Kama mfumo wa TRAFIKI na Mkuu wa trafiki wameshindwa kusimamia hili , basi watujuze wananchi MAKONDA AJULISHWE anaweza kushughulikia hili maana atamwambia raisi kuwa umeteua watu wasioweza kusimamia majukumu yao.
MAKONDA ndio pekee anaweza kumwambia raisi kuwa umewapa watu idara wasizo ziweza, badilisha!
MAKONDA ndio pekee anaweza kumwambia raisi kuwa umewapa watu idara wasizo ziweza, badilisha!