Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?