Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?

Ridhwani pamoja na mambo yake yote,sio FISADI bali anaweza kwa urahisi kabisa kufanikisha shughuli za kifisadi. Kama Asha angetupatia nyeti alizonazo kuhusu Ridh natumaini tungesonga mbele lakini hadi hivi sasa hakuna ushahidi wowote kumfanya yeye binafsi kuwa FISADI.
 
Dua soft copy ya makala ya mwanahalisi inatafutwa iwekwe hapa ili kuanzisha hii debate to the next level.
 
Mbona hata wewe thread zako huwa zina maswali? hii sio mara ya kwanza - ingekuwa hii habari haikuandikwa kwenye gazeti huko nyumbani basi ingekuwa red flag ya kwanza. Give a lady a break!

sikatai na threads nilizozianshisha zenye maswali nilihamishiwa sehemu inakohusika

Labda tucheki na jamaa wa hilo gazeti watufafanulie zaidi yale maswali yaliyoulizwa hapo awali

au unasemaje?
 
sikatai na threads nilizozianshisha zenye maswali nilihamishiwa sehemu inakohusika

Labda tucheki na jamaa wa hilo gazeti watufafanulie zaidi yale maswali yaliyoulizwa hapo awali

au unasemaje?

Now you are talking! hii soft copy ya mwanahalisi ipatikane iwekwe hapa ili kuwe na basis ya hii discussion. Hata hivyo, so far hakuna ambaye amekanusha kuwa Riz hafanyi kazi IMMA kitu kinachoweka probable cause hapa au wewe unaonaje!?
 
na hakuna ubaya au dhambi yoyote kwa Ridhwani kufanyakazi IMMA just like Chelsea Clinton anavyofanyakazi pale Marc Lasry au Jenna Bush kufanya kazi ya kufundisha shule pale DC

sasa sijui watu walitaka iweje yaani mlitaka Ridhwani akae tuu vijiweni pale mtaa wa Mkwepu kama akina Nicko wakati shule kaenda?

lets be objective jamaa

Hizo connections je zinazo mgusa kila wakati si vyema zikasemwa kwa kuwa zina mahusiano na mafisadi na ufisadi ?
 
na hakuna ubaya au dhambi yoyote kwa Ridhwani kufanyakazi IMMA just like Chelsea Clinton anavyofanyakazi pale Marc Lasry au Jenna Bush kufanya kazi ya kufundisha shule pale DC

sasa sijui watu walitaka iweje yaani mlitaka Ridhwani akae tuu vijiweni pale mtaa wa Mkwepu kama akina Nicko wakati shule kaenda?

lets be objective jamaa

Sijui kama Jenna Bush anafundisha shule ambayo inahusika na wizi wa mabilioni ya pesa za wamarekani na yeye akiwa kwenye nafasi ya utetezi (uanasheria) wa wizi huo kama Ridhiwani. Nakuhakikishia kama ingekuwa hivyo basi NY Times wangekuwa na field day.
 
Ahaaaa now we are getting somewhere

hebu nionyeshe ni wapi na jinsi gani IMMA wamehusika na wizi wa MABILIONI

a) Keshi ilifunguliwa na nani?

b) Kwa evidence zipi?

b) Mahakama gani?

c) Mbele ya hakimu yupi?

d) Hukumu ya kuwa IMMA iliiba MABILIONI ilitolewa lini?

mpaka ukafikia hii conclusion kuwa IMMA ni wezi wa mabilioni
 
Naona sasa unataka kuniajiri kuwa research assistant wako hapa JF. Take time kusoma thread zote hapa za wizi wa BoT na kashfa zingine za BoT uone connection ya kampuni ya kifisadi ya IMMA kwenye hizi kashfa zote! Uvivu wako tena unataka kuuleta hapa JF?
 
From the get go nilishasema Kikwete anahusika kwenye ufisadi.Kama itagundulika Ridhiwani anahusishwa basi atakuwa anabeba mikoba ya baba yake tu.

Kikwete hana moral standing ya ku stamp out corruption kwa sababu yeye mwenyewe ana skeletons kibao in his closet.
 
Mie ni mpenzi wa CCM,ila CCM yaliyoipenda Mwalimu na walasio CCM hii ya sasa ya wafanyabiashara,mie namfahamu RIZ muda mrefu kama mdogo wangu.nachokifahamu mie Hausiki na suala hili.Mbona Dr. Slaa hakumtaj wakati wa List of Shame??

CCM ni chama Bora ila kimeingiliwa na Mafisadi.

Kwenda mbinguni unapenda kufa hutaki Kwi kwi kwi kwi

Mpenzi wa SISIEMU lakini si mpenzi wa SISIEMU hii ya sasa.

Wewe kama si Riz nyamaza, tena ushone mdomo kabisaaa!

Kama umetumwa na Riz endelea kumtetea Riz kwa sababu mtumwa haleti ujumbe wake ila wa bwana aliye mtuma.
 
Chama cha ANC chama cha Wazee wa Inkoskas nacho kimelamba matapishi kiasi kwamba makaburu watawacheka milele.

ANC imepitisha Azimio la kuua kikosi maalumu cha kuzuia Rushwa kinacho julikana kama SCORPION ili kulinda maslahi ya mtu mmoja aitwaye ZUMA.http://www.reuters.com/article/worldNews/idUSL1223114320080212
ZUMA anakabiliwa na tuhuma za kupokea kiasi cha $600,000.00 kwa mtindo maarufu wa RUSHWA.
Baada ya kikosi cha SCORPION kufanya upelelezi na kupata vithibiti vyote sasa wako tayari kuithibitishia mahakma jinsi ZUMA laivypokea Rushwa.
Ili kuua juhudi hizo ANC wameamua kuiua SCORPION kunusuru ZUMA aiende lupango na kuukosa urais wa South Afrika baada ya mbeki.

Hoja nyingi hapa zinaelekea kutaka kusema kwa mtindo wa yaliyotokea Afrika ya Kusini.
Mambo yanazungushwa huku na kule mwishoni tutaambiwa ushahidi hakuna kwa sababu walio peleleza na wenye ushahidi wamewa MOHAMEDI INTERPRISE uhai wao.

Fedha zilizo ibiwa ni nyingi sana kiasi cha mtu na busara zake kuendelea kutetea kila upuuzi.
 
Naona sasa unataka kuniajiri kuwa research assistant wako hapa JF. Take time kusoma thread zote hapa za wizi wa BoT na kashfa zingine za BoT uone connection ya kampuni ya kifisadi ya IMMA kwenye hizi kashfa zote! Uvivu wako tena unataka kuuleta hapa JF?

la hasha, hapa hatuna haja ya kuleta hasira wala nini. Sijasema kuwa nataka kukuajiri na wala sijui hiyo imetokea wapi lakini nimekuuliza tu maswali kutokana na hoja ulizozileta sasa mzee hiyo ndio hekima ya mjadala

wewe ulitakiwa unipe referebce tu bas

si vita mkuu
 
Back
Top Bottom