HEEEEEEEY STOP,SASA MTASHIKA WATU PABAYA,UKISIKIA UTAMU NDIO HUU,YAANI MPAKA INACHEKESHA, MAKOSA YETU WENYEWE WATANZANIA,TUMEFUGA CHUI KATIKA ZIZI LA MBUZI,KITAKACHOTOKEA NI KIAMA CHA MBUZI.
Sasa mwajamani wale jama ze comedy hawana tabu ya kutafuta habari,na sisi kwa sasa naona tukinyamaza itakuwa bora hawa jamaa mmoja baada mmoja watajulikana tu.wenyewe watatajana haina haja ya kupiga kelele,kama jina la mtoto wa rais limeanikwa sasa imekuwa kama kuzima moto na petrol.
kumbe ndio maana wameruhusiwa kurudisha kimyakimya,sasa wamekwisha, na nasikia habari hizi zimetokea richmond,wanalipiza kisasi na sikia wameunda team inayofadhiliwa R LA AZIZ kuanika uchafu wote na hasa huu wa BOT,ili huu wa RICHMOND USAHAULIKE.
Inchi hi!! UTASEMA TUKO HOLLIWOOD.Hata watoto wao nao wanachukua mapema,sasa sisi tutabakia na nini?jamani mtubakishie na sisi tuna watoto pia.
HONGERA SHUJAA RIDHWANI,TUNAKUSUBIRI B/MOYO UKANYAGE ZULIA JEKUNDU.