Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Mwewe,
Heshima mbele, fafanua zaidi mkuu, maana majority share holder wa IMMA ni jrani yangu kujijini Kinyerezi/Segerea, na ninajua mambo mengi mazuri shirika hilo limeyafanya kwa wananchi wasiokuwa na uwezo katika kijiji changu, ikiwa ni pamoja na ajira kwa baadhi ya vijana, aambao ninawajua kuwa sio mafisadi,
Mujulusi, ni kijana aliyetoka jasho sana kulifikisha hilo shirika lilipo sasa, I have seen him kwa macho yangu, hawa kina Margai na Masha, Ishengoma waliingia baadaye, sasa zamani hatukuwa na utamaduni wa mashirika ya sheria za binafsi, kwa hiyo tusichanganye mambo wakuu,
kama kuna uchafu upo wa IMMa uwekwe wazi haap tuuone, so far hauonekani.
Ahsante Wakuu!
Imekuwa vema kuwa na jirani yao yumo humu JF, labda utufahamishe kwa undani zaidi jinsi unavyowafahamu na yapi waliyoyafanya kwa hao vijana ambayo ni tofauti na aliyoyafanya EL kwa nduguze huko Monduli, including askofu mzima wa kanisa, ambao kwao yeye ni ka-mungu fulani, ili tu kuficha ubaya wao wanaoifanyia nchi nzima wanapokuwa ofisini?