zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,513
- 40,514
Ndio maana nimehoji why unasema sio wapinzani kisa ni TISS? kwani wapi umeambiwa TISS Inachukua maelekezo ya CCM? Kwamba hata Mbowe akiwa TISS kivipi inamfanya awe CCM?Hujaona nimewataja mrema na mtikila!?