Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah
Unazingua
 
Putin alikua moja ya maafisa bora wa KGB,Biden alikua mwanajeshi/CIA,rais wa sasa wa south alikua usalama. ..no doubt kwa swali lako km hakua basi kuna chembe za hizo kazi in one way to another
 
S
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote
Sitashangaa maana soku hizi intelligence hawachukui watu intelligent kama zamani bali connection tu
 
Mbona Trump alikuwa Urais licha ya system kumkataa? Or Ruto amekua Rais licha ya mfumo kumkataa. Nadhani mchawi ni demokrasia tu, uchaguzi ukiwa free and fair hata Raia ambaye TISS hawamtambui anaweza shinda Urais.
Ninachojua Mimi ni ;-
kilichomuweka Trump white house ni MFUMO, ili kuepuka vita na Noth Korea pia kufutilia mbali kama sio kuahirisha Mgogoro wa UKREIN na Russia.

Rejea madai ya kuchezewa matokeo kwa msaada wa Putin,
 
Kama Marais wa Tanzania ukimtoa Nyerere ndio zao la TISS basi taasisi hiyo imejaa vilaza. Hivi kweli Mwinyi ni TISS? kwa akili Gani ya ziada aliyokua nayo? au JK ni TISS? kwa udhaifu ule basi TISS imejaa vilaza mnoo. Imagine mtu kama JPM aliweza kuwa Rais licha ya kuwa na terminal illness ya moyo alafu unasema tunayo TISS hapa?

Then Samia pia ni TISS?? Duh kama Taifa tuna matatizo makubwa sana kuliko nilivyodhani
Wewe ndio kilaza wa jf japo kwa usengelema wako unajiona una akili

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom