Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mr wake
 
Kwahio unachosema wewe, kwa argument yako Makamu wa Rais lazima apite huko na kila mgombea wa Upinzani yaani kuanzia Mtikila hadi yule aliyesema ataleta Ubwabwa ? Na Mbowe, Lipumba, Zitto, Marehemu Mama Mghwira n.k. Au

Jibu unalotaka sitakupa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukiwa TISS umesaini hati ya kifo cha wakati wowote kama kifo chako ni kwa maslahi ya taifa na nchi kwa ujumla!!

Kuna level hufikia utatakiwa utolewe sadaka kwa maslahi mapana ya nchi kiujumla!!

TISS siyo mchezo mchezo usiwaone na suti zao nyeusi kila mara ukadhani ni lelemama!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!!
Kuna majukumu tofauti,siyo wote watu wa mbilinge
 
Kwahio unachosema wewe, kwa argument yako Makamu wa Rais lazima apite huko na kila mgombea wa Upinzani yaani kuanzia Mtikila hadi yule aliyesema ataleta Ubwabwa ? Na Mbowe, Lipumba, Zitto, Marehemu Mama Mghwira n.k. Au
Mtikila alikua usalama,aliwa-host viongozi wa fdlr,hii nchi ione tu hivihivi,itahangaika na kina mbowe ukijiona mpinzani kumbe ni akina mrema wengine tu,uchaguzi ni maigizo
 
Vipi yule rais aliyekuwa DJ, jeshi ikampindua rais aliyekuwa madarakani kisha DJ akajipatia urais.
Andry Rajoelina aliyekuwa akikesha kwenyd ma-night club akipiga ngomas hatimaye alijiokotea urais.

Yaani kama hapa kwetu kufumba na kufumbua dj Majizzo

Hapo ni mfumo unakua umepitiwa na watu hubadirika. Wakati fulani mfumo unaweza kumhitaji mtu wa aina fulani kuwa strongman kulingana na mazingira na MAHITAJI ya wakati huo. Lakini, si ajabu pia mtu huyo akashindwa kutimiza yale yanayotakiwa. Baadhi yao hufika wakati hudhani kwamba kwakua wamekua marais basi wanalazimisha kujiondoa au kujitengenezea mifumo mipya ambapo mara nyingi mifumo hiyo hushindwa. Mifano ipo mingi lakini tosheka tu kwamba hakuna Rais wa bahati mbaya ila wakati fulani wanajaribu kuibadilikia mifumo iliyowaweka. Hapo sasa ndio tunapata aina ya viongozi uliowatolea mfano.
 
Ukiwa TISS umesaini hati ya kifo cha wakati wowote kama kifo chako ni kwa maslahi ya taifa na nchi kwa ujumla!!

Kuna level hufikia utatakiwa utolewe sadaka kwa maslahi mapana ya nchi kiujumla!!

TISS siyo mchezo mchezo usiwaone na suti zao nyeusi kila mara ukadhani ni lelemama!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!!
Hamna kitu, mbona ufisadi mkubwa hivi wanashindwa zuia? Hamna lolote zaidi ya kukusanya taarifa tu na kuziweka kabatini....na wanchukulia hatua zile tu ambazo Zina maslahi kwa viongozi waandamizi wa serikali au CCM ila sio maslahi ya wananchi.
 
Vipi yule rais aliyekuwa DJ, jeshi ikampindua rais aliyekuwa madarakani kisha DJ akajipatia urais.
Andry Rajoelina aliyekuwa akikesha kwenyd ma-night club akipiga ngomas hatimaye alijiokotea urais.

Yaani kama hapa kwetu kufumba na kufumbua dj Majizzo ni rais.
Hahahaha nimecheka sana, ila jamaa hakuwa DJ tu nadhani alikua Mayor wa mji Mkuu ndio Sasa akapata zali akawa Rais.
 
Hapo ni mfumo unakua umepitiwa na watu hubadirika. Wakati fulani mfumo unaweza kumhitaji mtu wa aina fulani kuwa strongman kulingana na mazingira na MAHITAJI ya wakati huo. Lakini, si ajabu pia mtu huyo akashindwa kutimiza yale yanayotakiwa. Baadhi yao hufika wakati hudhani kwamba kwakua wamekua marias basi wanalazomisha kujiondoa au kujitengenezea mifumo mipya ambapo mara nyingi mifumo hiyo hushindwa. Mifano ipo mingi lakini tosheka tu kwamba hakuna Rais wa bahati mbaya ila wakati fulani wanajaribu kuibadilikia mifumo iliyowaweka. Hapo sasa ndio tunapata aina ya viongozi uliowatolea mfano.
Nikijaribu kukusoma katikati ya mistari ina maana ukiwa rais kutokana na mahitaji ya mfumo wa wakati huo, then ukalazimisha kwa kwenda na matakwa yako tofauti na mfumo, mfumo huo huo unaweza kukutanguliza pahala (mbinguni) na kumweka mtu mwingine atakayekidhi matarajio.
 
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Marais wa Tanzania ukimtoa Nyerere ndio zao la TISS basi taasisi hiyo imejaa vilaza. Hivi kweli Mwinyi ni TISS? kwa akili Gani ya ziada aliyokua nayo? au JK ni TISS? kwa udhaifu ule basi TISS imejaa vilaza mnoo. Imagine mtu kama JPM aliweza kuwa Rais licha ya kuwa na terminal illness ya moyo alafu unasema tunayo TISS hapa?

Then Samia pia ni TISS?? Duh kama Taifa tuna matatizo makubwa sana kuliko nilivyodhani
 
Hapo ni mfumo unakua umepitiwa na watu hubadirika. Wakati fulani mfumo unaweza kumhitaji mtu wa aina fulani kuwa strongman kulingana na mazingira na MAHITAJI ya wakati huo. Lakini, si ajabu pia mtu huyo akashindwa kutimiza yale yanayotakiwa. Baadhi yao hufika wakati hudhani kwamba kwakua wamekua marais basi wanalazimisha kujiondoa au kujitengenezea mifumo mipya ambapo mara nyingi mifumo hiyo hushindwa. Mifano ipo mingi lakini tosheka tu kwamba hakuna Rais wa bahati mbaya ila wakati fulani wanajaribu kuibadilikia mifumo iliyowaweka. Hapo sasa ndio tunapata aina ya viongozi uliowatolea mfano.
Mbona Trump alikuwa Urais licha ya system kumkataa? Or Ruto amekua Rais licha ya mfumo kumkataa. Nadhani mchawi ni demokrasia tu, uchaguzi ukiwa free and fair hata Raia ambaye TISS hawamtambui anaweza shinda Urais.
 
Back
Top Bottom