Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Kama Marais wa Tanzania ukimtoa Nyerere ndio zao la TISS basi taasisi hiyo imejaa vilaza. Hivi kweli Mwinyi ni TISS? kwa akili Gani ya ziada aliyokua nayo? au JK ni TISS? kwa udhaifu ule basi TISS imejaa vilaza mnoo. Imagine mtu kama JPM aliweza kuwa Rais licha ya kuwa na terminal illness ya moyo alafu unasema tunayo TISS hapa?

Then Samia pia ni TISS?? Duh kama Taifa tuna matatizo makubwa sana kuliko nilivyodhani
Tiss imejaa makada
 
Hapana siyo huyo!

Kuna kijana mkimya sana haongei ongei sana!

Japo na huyo anajiandaa na yeye!!

Japo vita vya kuutaka vinaweza kumuibua mwingine!!
Nimeuliza swali la msingi ila sijajibiwa mkuu,

VIPI KAMA, Watu wa TISS / DEEP STATE/ SHADOW GOVERNMENT/ SPIRITUAL GOVERNMENT / FOREIGN FORCES/ ALIEN FORCES/ THE CABAL, wanamuweka madarakani RAIS DHAIFU na KILAZA (kwa standard zao) ili WAO wawe na nguvu juu ya RAIS HUYO (KILAZA) kwa wakati wote?

JE, hii NADHARIA inaweza kutoa maelezo mbadala kwanini nchi yetu na nchi zingine zinaongozwa na watu ambao HAWAJITAMBUI??

Mfano yule jamaa wa msoga? Au mwinyi?
 
Kivyovyote vile hawaweki kwenye madaraka mtu mwenye akili kuliko wao!!

Walipomweka tu huoni walimshindwa!!?wakaamua vinginevyo!!?

Kwa hiyo hao jamaa wanaweka mtu ambaye wanamuweza kwa malengo maalum ambayo yamesharatibiwa tayari!!

Mfano juzi wamezindua malengo ya miaka hamsini ijayo lazima waweke mtu ambaye atafanya hayo!!
 
I see!

Kwa mfano lile jamaa la msoga linaonekana ni igizaji zuri sana.

He looks extremely dumb but yet very powerful.

Hii inamaanisha hata uwe KILAZA na MBURULA kiasi gani, lakini kama UNAWATII hawa UTAINULIWA JUU?
 
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote
Sasa mama ni CIC, Top of the tops.
Ukifahamu itakusaidia nini?
 
Watu mnaodharau kila mtu kias hiki na kuona kila mtu Hana akili wengi ni bipolar msiojijua.unahitaji matibabu ya haraka mkuu.
Namdharau vipi Rais mkuu, nachoongelea ni utendaji wao sio ujasusi wao. Mfano Tumeingia mikataba mingapi ya kifisadi, inakuaje jasusi anashindwa kuona madhaifu kwenye mkataba kwa miaka 20? Alafu mtu anakuja na confidence kabisa anajisifia kuwa Marais wetu wote ni TISS!!

Mbona tunadhalilisha TISS yetu kama viongozi inaozalisha ndio Hawa Wana under perform.
 
Ukiwa TISS umesaini hati ya kifo cha wakati wowote kama kifo chako ni kwa maslahi ya taifa na nchi kwa ujumla!!

Kuna level hufikia utatakiwa utolewe sadaka kwa maslahi mapana ya nchi kiujumla!!

TISS siyo mchezo mchezo usiwaone na suti zao nyeusi kila mara ukadhani ni lelemama!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!!

Basi TISS ni wa hovyo at that.
 
Ni kiongozi gn hapa duniani anafanya kazi yake kwa usahihi 100%?
Hayupo lakini ufanisi walau unaonekana maana tumeaminishwa kwamba TISS ni watu wenye akili, upeo, ufahamu mkubwa. Eti Leo tunaambiwa Bwana Ruksa alikua TISS wakati hata basics tu za uchumi alikua hajui!! Kazi kwelikweli. Mama Samia pia ni TISS kwa elimu Ile ya kuunga unga? I doubt hata anaweza andika ripoti ya kiuchambuzi!!

Sasa kama hao ndio best TISS agents je vipi wale junior officers huko TISS? si ndio aibu tupu!!
 
Kivyovyote vile hawaweki kwenye madaraka mtu mwenye akili kuliko wao!!

Walipomweka tu huoni walimshindwa!!?wakaamua vinginevyo!!?

Kwa hiyo hao jamaa wanaweka mtu ambaye wanamuweza kwa malengo maalum ambayo yamesharatibiwa tayari!!

Mfano juzi wamezindua malengo ya miaka hamsini ijayo lazima waweke mtu ambaye atafanya hayo!!
KUHUSU RAIS KUWA MWANAUSALAMA:

VIPI KAMA, wanawa-recruit watu kwenye idara za ujasusi KWA MADHUMUNI YA KUWA MARAIS, ili wawatengeneze kuendana na mfumo, KWA FAIDA YA THE CABAL?

KWA MSINGI HUO marais ni VINYAGO VYA KUCHONGWA TU? Upo mfumo uliowachonga na kuwaweka!

Hivyo, hawawezi kuwa WAKUBWA kuliko MFUMO?
 
Back
Top Bottom