Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Wewe ndio kilaza wa jf japo kwa usengelema wako unajiona una akili

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Kila siku unasema JK ni fisadi na pia Samia nchi imemshinda ndio Sasa nakuuliza unakubali kwamba TISS inazalisha viongozi mafisadi na vilaza kama JK na Samia? Maana ubora wa taasisi tunaupima kwa products zake!! Kwamba Dk.shein, Amani Karume, Samia, Mwinyi ni zao la TISS 😂😂😂. Mbona TISS imefuga vilaza kiasi hiko
 
Mtikila alikua usalama,aliwa-host viongozi wa fdlr,hii nchi ione tu hivihivi,itahangaika na kina mbowe ukijiona mpinzani kumbe ni akina mrema wengine tu,uchaguzi ni maigizo
Kwani wapi umesikia TISS lazima uwe CCM? Au hujui hata Upinzani wanahitajika TISS Ili kubalance mizani. Ni Tanzania tu watu wanaamini Ili uwe TISS Lazima uwe loyal kwa CCM! Unaweza Ukawa ni TISS lakini ukasimamia maslahi ya taifa ila siasani ukawang'oa CCM vizuri tu ikulu maana maslahi ya taifa ni zaidi ya vyama vya siasa.
 
Wewe Kila siku unasema JK ni fisadi na pia Samia nchi imemshinda ndio Sasa nakuuliza unakubali kwamba TISS inazalisha viongozi mafisadi na vilaza kama JK na Samia? Maana ubora wa taasisi tunaupima kwa products zake!! Kwamba Dk.shein, Amani Karume, Samia, Mwinyi ni zao la TISS [emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona TISS imefuga vilaza kiasi hiko
Tatizo kubwa sana ni kubwa wewe huna akili

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote
Kama Samia alikuwa afisa usalama then nimeshajua kwanini tunaibiwa hivi.nimeshajua afisa usalama wetu ni vilaza.
 
Kama Marais wa Tanzania ukimtoa Nyerere ndio zao la TISS basi taasisi hiyo imejaa vilaza. Hivi kweli Mwinyi ni TISS? kwa akili Gani ya ziada aliyokua nayo? au JK ni TISS? kwa udhaifu ule basi TISS imejaa vilaza mnoo. Imagine mtu kama JPM aliweza kuwa Rais licha ya kuwa na terminal illness ya moyo alafu unasema tunayo TISS hapa?

Then Samia pia ni TISS?? Duh kama Taifa tuna matatizo makubwa sana kuliko nilivyodhani
Jk usimchukulie powaaa aseee hapa EAST and CENTRAL AFRICA jamaa anaogopeka ni jasusi mbaya aliyepitia mikononi mwa kinana
 
Jk usimchukulie powaaa aseee hapa EAST and CENTRAL AFRICA jamaa anaogopeka ni jasusi mbaya aliyepitia mikononi mwa kinana
Namfahamu alipita jeshini, hata Pinda au Membe walipita TISS ila concern yangu ni uongozi wao. Je kweli leadership ya JK Ina reflect umakini wa mwanaTISS? Yaani ufisadi wa EPA, Kagoda, Deep green, Meremeta, Richmond, Tegeta Escrow, EGMA n.k kweli TISS agent ameyaacha yatokee ilihali ana mamlaka zote kisheria kuchukua hatua?
 
Kuwa TISS sio Kwamba umekuwa MALAIKA. Hata ma T.O walitutesa darasani ila mtaani tupo nao wanakopa SONGESHA na M PAWA
 
Kuna nafasi zile za juu moja wapo lazima uwe mtu kutoka idarani.
Mbona Wana underperform? Mfano NIDA Na NSSF wamejazwa TISS ila mbona ni Moja ya idara zilizojaa rushwa, fisadi, na under performance. Je ipi tija kuwa na TISS agents kama hawana impact, moreover tunajisifia humu eti top leaders ni TISS ilihali tuna expose how TISS imefuga vilaza.
 
Mbona Trump alikuwa Urais licha ya system kumkataa? Or Ruto amekua Rais licha ya mfumo kumkataa. Nadhani mchawi ni demokrasia tu, uchaguzi ukiwa free and fair hata Raia ambaye TISS hawamtambui anaweza shinda Urais.
kujidanganya pia inaruhusiwa....
Ila wapo waliokiri kwamba walikua wanajaribu tu.
Sidhani kama mtu wa system anaweza kufanya majaribio na kutangaza kama alijaribu tu akapata bahati mbaya
Hakuna kitu kama hicho, hakuna anayepewa nchi kwa majaribio. Kumbuka kwamba kwenye siasa ni kawaida sana kutema mate kulia kisha unafukia kushoto....
 
hakuna anayepewa nchi kwa majaribio
Anapewa na nani? Kwahiyo TISS walikaa chini wakaona Mwinyi alifaa kuwa Rais baada ya Nyerere?! Duh hao TISS mbona ni vilaza kiasi hiko. Au mfano TISS walimtaka JPM ambaye alipinga chanjo hapo hapo Tena wakamtaka Samia anayekubali chanjo Sasa hao TISS mbona nao hawajui sequencing au consistency kwenye leadership?
kujidanganya pia inaruhusiwa
Kujidanganya wapi? System ilimkataa Ruto tokea siku ya kwanza but ndio hivyo kura akashinda ikabidi waswitch allegiance hapo hapo. Kwa nchi zinazojitambua System wapo neutral.
 
Siku ukiwa mkubwa utajua usiyoyajua kiazi kitamu wewe

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukiwa mkubwa utajua usiyoyajua kiazi kitamu wewe

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha pole sana Sukuma gang unashindwa ushike lipi maana ukimtetea Samia utakua umelamba matapishi na pia ukimkosoa utaprove TISS imejaa vilaza. Next time hoja zako ziandae kisomi maana huku sio FB tumejaa tunaojielewa. Embicile
 
Kwani wapi umesikia TISS lazima uwe CCM? Au hujui hata Upinzani wanahitajika TISS Ili kubalance mizani. Ni Tanzania tu watu wanaamini Ili uwe TISS Lazima uwe loyal kwa CCM! Unaweza Ukawa ni TISS lakini ukasimamia maslahi ya taifa ila siasani ukawang'oa CCM vizuri tu ikulu maana maslahi ya taifa ni zaidi ya vyama vya siasa.
Hujaona nimewataja mrema na mtikila!?
 
Tatizo kubwa sana ni kubwa wewe huna akili

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa unaanzishaga threads humu harafu unawatukana wachangiaji wako tena wasiokutukana wewe kibaya zaidi unawatukana mpaka wazazi wao ambao kamwe huwajui, wengine walishawapoteza wazazi wao wewe unawatukana ajabu mods wanakaa kimya pasipo kukuadhibu hii haikubaliki
 
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote
Sidhani kama ni kweli ila binafsi nachoamini n kwamba huwezi kuwa na cheo kikubwa kama urais, makamu wa rais au waziri mkuu bila kuwa kwenye system fulani ya kukufikisha hapo.
Huwezi kupata hvy vyeo kwa bahati mbaya hvy n lazima upikwe vizuri ili uweze ku-fit kwenye hicho cheo.
Mfano yule dada mwanajeshi nyuma ya Samia, alipikwa kwa ajili ya kukaa pale hata kabla Samia hajawa makamu wa rais.
 
Back
Top Bottom