Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Je, Rais Samia alikuwa Afisa Usalama kabla?

Hayupo lakini ufanisi walau unaonekana maana tumeaminishwa kwamba TISS ni watu wenye akili, upeo, ufahamu mkubwa. Eti Leo tunaambiwa Bwana Ruksa alikua TISS wakati hata basics tu za uchumi alikua hajui!! Kazi kwelikweli. Mama Samia pia ni TISS kwa elimu Ile ya kuunga unga? I doubt hata anaweza andika ripoti ya kiuchambuzi!!

Sasa kama hao ndio best TISS agents je vipi wale junior officers huko TISS? si ndio aibu tupu!!
Mimi nimeelewa hapo juu, kuna mtaalamu katoa ufafanuzi mzuri.

Kwamba hawa INTELLIGENCE AGENCY/ THE CABAL, wanawapachika madarakani MARAIS VILAZA, ili WAO (THE CABAL) wawe na nguvu juu ya RAIS KILAZA kwa wakati wote.

Na inaonekana sio BAHATI MBAYA.
 
Viongozi wote wa nafasi za juu kwenye taasisi za umma ni manjagu!
Wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi, mawaziri na manaibu wao, makatibu wakuu na hata wabunge, majaji na maafisa kwenye vitengo vya umma ni tiss!
Tiss ina mizizi mingi kwenye kila idara na sekta!
 
Unaitofautishaje CCM na Dola!?
Basi huo ni udhaifu lakini kisheria hawapaswi kuwa na upande na Kuna wakati huwa wanaanzisha Hadi vyama vya upinzani Ili kuisimamia serikali ipige kazi n.k. Sasa nashangaa pale naposikia mtu akiwa TISS na yupo Chadema basi ni mtiifu wa CCM? How? Unadhani hata wanajuana mkuu? TISS ni ya kwetu sote sio makanisani, misikitini, kwenye michezo lazima wawepo Ili tu kuspot threats zaidi ya hapo Wana haki ya kufanya chochote nje ya kuwa loyalist kwa CCM.
 
Mimi nimeelewa hapo juu, kuna mtaalamu katoa ufafanuzi mzuri.

Kwamba hawa INTELLIGENCE AGENCY/ THE CABAL, wanawapachika madarakani MARAIS VILAZA, ili WAO (THE CABAL) wawe na nguvu juu ya RAIS KILAZA kwa wakati wote.

Na inaonekana sio BAHATI MBAYA.
This makes sense maana ningeshangaa kivipi Rais awe TISS alafu anakua mzembe mzembe hivi.
 
Viongozi wote wa nafasi za juu kwenye taasisi za umma ni manjagu!
Wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi, mawaziri na manaibu wao, makatibu wakuu na hata wabunge, majaji na maafisa kwenye vitengo vya umma ni tiss!
Tiss ina mizizi mingi kwenye kila idara na sekta!
Lengo ni nini?
 
Malizia vichaa wote mtaani ni usalama. Hivi hadi makonda alikua TISS?

If that's the case TISS ni ya hovyo sana inatoa watu incompetent kuliko kawaida. Hii habari paints TISS badly kuliko kuwasfia wajitafakari.
 
Hayupo lakini ufanisi walau unaonekana maana tumeaminishwa kwamba TISS ni watu wenye akili, upeo, ufahamu mkubwa. Eti Leo tunaambiwa Bwana Ruksa alikua TISS wakati hata basics tu za uchumi alikua hajui!! Kazi kwelikweli. Mama Samia pia ni TISS kwa elimu Ile ya kuunga unga? I doubt hata anaweza andika ripoti ya kiuchambuzi!!

Sasa kama hao ndio best TISS agents je vipi wale junior officers huko TISS? si ndio aibu tupu!!
Yani unavomuona kiongozi flan anaendesha ncho/wizara kwa namna fulani bc ujue ndo ufanisi wake umeishia hapo
 
usilolijua ni sawa na usiku wa giza mkuu,ayo mambo ni magumu hata kuyajadili

Namdharau vipi Rais mkuu, nachoongelea ni utendaji wao sio ujasusi wao. Mfano Tumeingia mikataba mingapi ya kifisadi, inakuaje jasusi anashindwa kuona madhaifu kwenye mkataba kwa miaka 20? Alafu mtu anakuja na confidence kabisa anajisifia kuwa Marais wetu wote ni TISS!!

Mbona tunadhalilisha TISS yetu kama viongozi inaozalisha ndio Hawa Wana under perform.
 
usilolijua ni sawa na usiku wa giza mkuu,ayo mambo ni magumu hata kuyajadili
Ndio sijui kitu ila nachojua ufisadi ni mwingi hii nchi kwa miaka 60 Sasa, unapodai viongozi wa kuu ni TISS all this time nashangaa faida Yao kuwa majasusi ni ipi ilihali nchi inanuka ufisadi na wameshindwa uzuia.
 
Nimemsikiliza speeches zake hasa kwa polisi akiwaambiwa ukweli juu ya waliyotaka kumfanyia baadae wakagundua ni nani wanaomba msamaha na kutubu ,ni miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika asasi za kibinafsi huko alikotokea.

Niliwahi kuhakikishiwa kuwa pure civilian hawezi kuwa CIC na ndio sababu Samia ameweza na ndio sababu ya zile top 5 za wakati wote za CCM inamaanisha kuwa lazima wale jamaa wakukubali sana .

Kama umekuwa potential hata ukiwa na miaka 30+ watakupa mafunzo ya muda ili uendane na kasi ya kuchambua data kisawasawa sio kiraia.

Je huku jamiiforumu kuna wadau walau wanamfahamu mama akiwa kitenge kama field officer au agent wa TISS akiwa foreign affairs au kokote
hao TISS wangekuwa smart kama unavyodhani, nchi isingekuwa hivi ilivyo, upigaji kila kona, nidhamu katika ofisi za umma hakuna
 
Binafsi naamini na nitaendelea kuamini kwamba, hakuna Rais yeyote Africa (Pengine duniani) ambaye hajawahi kuwa mtumishi katika taasisi nyeti (Mfano TISS). Rais ni lazima awe na ABC zinazohusu nchi na zaidi ya yote awe na uelewa wa kutosha wa namna ya kuchambua na kupembua taarifa mbalimbali anazoletewa mezani kwake(Japo kuna watu katika ngazi mbalimbali utekelezaji jukumu hili) lakini na yeye hatakiwi kuwa mbumbumbu. Aidha, naamini kwamba katika nafasi zote za ngazi za juu kuanzia kwenye mawaziri, majeshi na mikoa wengi ni vitongo. Ndio maana sijashangaa uteuzi wa yule jamaa aliyewahi kusuka nywele enzi hizo kuwa waziri mdogo.

Nadhani inatosha kwa leo.
Sasa Samia ana uwezo wa kufanya analysis ya masuala nyeti kweli!
 
Anapewa na nani? Kwahiyo TISS walikaa chini wakaona Mwinyi alifaa kuwa Rais baada ya Nyerere?! Duh hao TISS mbona ni vilaza kiasi hiko. Au mfano TISS walimtaka JPM ambaye alipinga chanjo hapo hapo Tena wakamtaka Samia anayekubali chanjo Sasa hao TISS mbona nao hawajui sequencing au consistency kwenye leadership?

Kujidanganya wapi? System ilimkataa Ruto tokea siku ya kwanza but ndio hivyo kura akashinda ikabidi waswitch allegiance hapo hapo. Kwa nchi zinazojitambua System wapo neutral.
Na waliofunga server, kupotosha matokeo harali ni watu gani,, kama sio MFUMO!?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maushungi naye ni TISSS! Alaah!

Famasiala!!
Unadhani,, hoi nafasi nayo aliipata kwa Zari:-

Minister of State for Union Affairs in the Vice President's Office
 
Back
Top Bottom