Upo msemo usemeo kabla yakuvuka mto usiwachezee mamba. Huu ni msemo wa ajabu sana ikiwa umpenz wakuchunguza mambo kiundani nakujuwa maana yake. Nimekuwa mdau wa taifa hili tangu nilipo zaliwa na hata sasa iman kubwa ninayo amini uzalendo wa kweli na mapenz ya dhati ya mtu kwa taifa kwanza nikuwa mwaminifu na mwenye imani kwa taifa lako.
Nimekuwa mdau wakufuwatilia mambo mengi ktk siasa za taifa hili na jambo kubwa nimeligundua ni viongozi kuwa WAONGO huku wakitumia umasikini wa watanzania na vyombo vya habari kuficha maovu yao. Hii ni aina nyingine ya siasa kwenye taifa hili ambayo kama vyombo vya usalama haito ingalia yaweza kuwa hatari kule tuendapo.
Moja ya sababu zimenifanya kuandika huu uzi nikuwepo na propaganda nje na ndani ya taifa zinazo taka eti kutuaminisha Dr Dau ni mtu mzuri sana na anapaswa kuwa mfano wakuigwa na ili kunogesha hizo propaganda leo 19.04.2016. Mimi sitaki pingana na utenzi wake alio utoa leo wenye kejeli na lugha zenye viasilia vya udini ndani yake binafsi nikirejea katiba yetu kifungu18 kuanzia mwanzo hadi mwisho naona palikuwa na ukiukwaji mkubwa wakikatiba hasa maudhui ya ile msg.
Pale palikuwa na viongoz wakuu wakiserikali na hotuba yakiongozi makini na mwenye uzalendo wa kweli ilikuwa nikutoa neno lashukrani nakupongeza haikuwa sehem yamipasho na inshallah nyingi zenye kuleta picha eti utenguzi wake ilikuwa sio sawa na daraja lakigamboni ndio uzalendo wakwel kwake kwa taifa maana project imeisha na leo daraja limefunguliwa.
Labda niwakumbushe ndugu wa tanzania na watu wote wenye mapenz mema na taifa hili kukumbuka kabla yakupiga makofi nakumsifia. Kbla ya Dr Dau palikuwapo na marehem Lyumba alie tekeleza kwa mafanikio makubwa nchi ya tanzania kupata twin tower na bank kuu yenye sura ya kimataifa lakini mwisho wake wengi mnaujuwa alikutwa na kashifa yakuongeza zero ktk ujenzi, Bazir Mramba waziri alie apa watanzania wale majani ndege ya Rais inunuliwe nayeye ndan ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi.
Nimependa kuwafungua macho ili tuende sawa. Dr Dau kabla na baada yakuondolewa Nssf alikuwa anawindwa na scendo zilizofanya serikali kutengu uteuzi wake nakupewa mtu mwingine wakati huo team x ikifanya spy kwenye kila lililokuwa likimuhusu Yeye na mwisho wa siku vyombo vya habari na mitandao yakijamii palianzwa kudondoshwa siri zilizo na harufu ya samaki zinazomuhusu Dr Dau. Mambo haya yalifanya watu kuanza kujuwa kile kilicho nyuma ya utenguzi wa huyu bwana. Ila jambo lakutisha zaidi nipale gazeti la Dira kuleta siri nzito ya ukwasi wa huyu Dr Dau.
Ujenzi wa Daraja lakigamboni tuwe wa kweli sio wazo la Dr Dau. Hili ni wazo la serikali la muda mrefu chini ya Ccm. Msimamizi wa maono haya ni waziri ambaye leo ni Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tz chini ya Rais mstaafu Dk Jakaya Kikwete. Mradi huu umetumia ~200B, wakati ikisemekana huyo afisa wa serikali akiwa na ukwasi wa 100B, achilia mbali tenda na zabuni zilizotolewa pasipo kufuwa sheria za manunuzi ambazo kwa sasa ni tetesi zilikuwa zake.
Ndugu wa Tanzania mimi ningeomba Dr Dau akae kimya na atulie wakati vyombo vya usalama vikifuwatilia kila aina ya makandokando kwenye mradi huu na ndani ya shirika alikuwa akiongoza na kama hao watamuacha akiwa clearn jaman Dr Dau ndipo atoe hvyo vijembe nakauli anatoa sasa maana kweli atakuwa anatimiza haki yake ya msingi yakujitete. Upo msemo unasema mtu akikutukana nakukutumia mashutuma mengi wewe usimjibu maana mwisho wasiku adhira ilio kuzunguka itakuhurumia, lakini ukijibizana watu hawawezi kukuelewa asilani.
Dr Dau nibora akumbuke ajavuka mto na mamba niwengi nje na ndani ya mtoto nahata wakimla yeye sio wakwanza wapo nyuma yake akina Mramba,Yona na marehem Lyumba hawa wote vyeo vyao vilikuwa dhamana. Ni wakati muwafaka kukubali kama ulishangiliwa sana basi kuzomewa pia kupo. Nakama hukujuwa cheo ni dhamana basi sasa cheo ni dhamana kwako. Mwenyaz Mungu akupe wepesi. Inshallah.