Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,820
Maswali Mengine itabidi nisaidiwe na watu huku
Kuna dada Leo kaniuliza kuwa yeye ana Makwapa Meusi, na hajui anatoaje weusi huo maana yanamkera sana
Ameshajaribu kila dawa lakini hamna
Na yeye ni mtu wa kutupia pamba za kata mikono lakini wapi
Anaomba msaada anataka makwapa yake yawe meupe kama ya wazungu! Mnamsaidiaje?!
Great Thinkers Msaidieni Dada hapa!
moneytalk mahondaw Demiss lara 1 mnaitwa huku
jaribu kuwa unaoga walau mara moja kwa siku
Hapati mtu hapa hahahahaHahaha kweli choo cha kike hiki
Huyo dada anayetoa instructions ndio wewe?Maswali Mengine itabidi nisaidiwe na watu huku