Je, nini kitatokea kama Dunia ikisimama ghafla?

Je, nini kitatokea kama Dunia ikisimama ghafla?

hapa haruswi mtu wala kuhama labda nyumba na vitu vingeni hii kwa sabab kuna gravitation force
 
Je, ile momentum iliyokuwepo itaturusha nje ya dunia kama mtu anavyorushwa kwenye kioo cha mbele cha gari?
Mbona hatuoni kama dunia inazunguka? Nkiwa kwenye gari naona linakimbia, can feel it, sasa hii kitu ya dunia inazunguka vipi? Toa shule hapa
 
Kweli tatizo la walimu wa sayansi tanzania linajidhihirisha wazi kabisaa kua sasa limekua sugu na nimekubali tatizo hilo ni harmful huathiri taaraatibu na kwa hiki inaonekana sasa tumekwisha athiriwa sanaaa.

Mh. Yani ukiangalia koment za wengi ni za kidato cha pili ambazo nadhani ilikua mwisho wa kushiriki katika vipindi vya fizikia,, kama kuna kiongozi yeyote wa serikalini humu aje ajionee jinsi watanzania mawazo yao yalivyo ya ki scalar zaidi yameshindwa kwenda kwenye vector .
Ni aibu mtu kutumia mawazo ya history kwenye swali linalohitaji facts

Na wanaojitahidi wengi unagundua kabisaaa anatumia mawazo ya tution na sio darasa

Pole sana Tanzania
Pole sana Watanzania
Pole sana fizikia

Kwa mwendo huu serikali ya viwanda bora tu muheshimiwa raisi azielekeze hizi nguvu kwenye kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume.

Fizikia haihitaji fikra nyepesi kama unyoya wa sufu,
Ukiyalinganisha mawazo yenu sitawatofautisha na jibu la mtoto wa darasa la pili alipoambiwa mbili toa tatu ni ngapi?!
Yeye alijibu haiwezekani
 
Mbona hatuoni kama dunia inazunguka? Nkiwa kwenye gari naona linakimbia, can feel it, sasa hii kitu ya dunia inazunguka vipi? Toa shule hapa
Good thought, then i suppose hata ikisimama Dunia wala hutahisi kitu sivyo?
 
Si bure mmea umehusika hapa
Wala sio bangi ndugu jaribu kufuatilia kabla ya kutoa mchango wako. Mtoa mada yupo sahihi. Watu kama sie (waafrica) ndio maana
hatuwezi fanya uvumbuzi wowote sababu ya mawazo hasi kama yako.
 
Wala sio bangi ndugu jaribu kufuatilia kabla ya kutoa mchango wako. Mtoa mada yupo sahihi. Watu kama sie (waafrica) ndio maana
hatuwezi fanya uvumbuzi wowote sababu ya mawazo hasi kama yako.
Kuliko kunijibu mimi bora na wewe ungemsaidia kuongeza nyama ktk huo uvumbuzi wake wa dunia ikisimama ghafla watu watarushwa...ili na wewe tujue unatumia mmea wa mkoa gani! Niache na mawazo yangu hasi
 
Kuna nabii mmoja katika Biblia nimemsahau jina alisimamisha jua kwa muda sasa huwa najiuliza ni jua ndo lilisimama au dunia. Mana kisayansi jua hua lipo constant ila dunia ndo hulizunguka wakuu msaada plz
 
Nabii Yoshua
 
Kipindi hicho walidhani ni jua ndio linazunguka hivyo kama ni kweli, basi ni Dunia ndio ilisimama, nini kilitokea?
 
Kwa kuwa dunia inajizungusha kwenye mhimili wake kwa mwendo unaofikia km 1670 kwa saa, ikitokea imesimama ghafla basi viumbe kama binadamu, wanyama n.k tutarushwa nje ya uso wa dunia kwa mwendo unaofikia km1600 kwa saa, pia kutakuwa na uharibifu wa vitu! Kutupwa kwa vitu kutoka uso wa dunia vitu hivyo havitaenda mbali sana kwa kuwa mwendo wa km 1600 kwa saa ni mdogo kuliko escape velocity ambayo ni km40,000 kwa saa! Hii escape velocity ni kuwa kama kitu kitaondoka duniani na huo mwendo basi hakiwezi kurudi tena na kinakwenda hadi palei ambapo gravity inakuwa ni zero na kitakuwa kikielea tu kwenye hiyo sehemu...
Majira mbalimbali yatabadilika kwa kuwa upande mmoja wa dunia utakuwa usiku na upande mwingine utakuwa mchana jambo litakalopelekea sehemu moja kuwa na baridi sana na nyingine joto sana..kwa kuwa dunia huzunguka jua kwa siku 365 basi jua ndilo litakalozunguka dunia na litachukua siku 365 kurudi point ya mwanzo maanake ili sehemu moja iwe usiku itachukua nusu mwaka kuwa mchana halafu nusu mwaka itakuwa usiku....
 
Kuna nabii mmoja katika Biblia nimemsahau jina alisimamisha jua kwa muda sasa huwa najiuliza ni jua ndo lilisimama au dunia. Mana kisayansi jua hua lipo constant ila dunia ndo hulizunguka wakuu msaada plz
Sahihisho dogo tu mkuu katika usemi wako.

Jua nalo pia linazunguuka. Linaizunguuka (orbit) blackhole ilioko katikati ya galaxy yetu ya Milkway, kama sisi (dunia) tunavyolizunguuka jua au mwezi (na satelite zote) unavyoizunguuka dunia.
 
Iliwahi kutokea enzi ya nabii joshua wakati anataka kuingia nchi ya kanaani na wana wa Israel. ...that's why we have 28 or 29 days ktk mwezi February. ...ila nahisi ikisimama mida hii hili tatizo la sukari litakuwa kwisha habari yake
Una miaka mingapi?

kuhusu 28 &29 days kamsome Gregory the great

I mean Gregorian Calender
 
Majibu yapo Yeremia 31:35- kila kitu kinaendeshwa na Mungu hakuna kinachojiongoza
 
Kwa kuwa dunia inajizungusha kwenye mhimili wake kwa mwendo unaofikia km 1670 kwa saa, ikitokea imesimama ghafla basi viumbe kama binadamu, wanyama n.k tutarushwa nje ya uso wa dunia kwa mwendo unaofikia km1600 kwa saa, pia kutakuwa na uharibifu wa vitu!

Mkuu naomba nikuulize swali, ikitokea ndege ikapaa angani na ikaenda kwa mwendo huu huu wa 1670 kms/saa ikitua itakuwa bado iko pale ilipotoka?
 
ha ha ha ha ww jamaa Duuh tanesco tna wanifurabixha hapa na jibu lako hlo
 
Back
Top Bottom