Je, nini kitatokea kama Dunia ikisimama ghafla?

hili jibu nimelipenda, kwa maana kulingana na speed ya dunia ina counterbalance force of gravity ya jua, ikisimama gafla yawezekana force ya jua ikawa kubwa ambapo automatical ni true ikaivuta dunia
kwa lugha ya fizikia centrifugal force ya mzunguko wa dunia balances gravitational force ya jua.
 
Je, ukitoboa bahari katikati hadi upande wa pili Wa dunia ambako ni nchi kavu, maji yatamwagikia upande wa pili?
 
Maji yatafanya simple harmonic motion...kwa wale walisoma physics vizuri nadhani watanielewa zaidi
 
Huu hizi ni mzuri sana ila ukifatilia reply za mwanzo kabisa hutajua wengi wamejibu pumba sababu hawana elimu japokidogo ya physics....
 
Maji yatafanya simple harmonic motion...kwa wale walisoma physics vizuri nadhani watanielewa zaidi
Equation of motion of an object falling through an imaginary hole through centre of earth is
d 2r /d t 2+ ( g/a ) r = 0 . The object thus will oscillate to and fro indefinitely in absence of damping force.
 
mkuu hyo ni geography form One bila shaka,nenda kapitie vitini
Mimi nimekuuliza wewe swali.., hata kama vitini vinasema hivyo. Bado swali langu kwako hujalijibu, ni criteria ipi unayotumia kufavor crust over atmosphere as the earth's surface?
 
kama itasimama usiku basi itakuwa ni usiku tuuu na kama itasimama mchana basi itakuwa ni mchana tuu
 
kwa wale wasoma biblia nasikia yoshua alishawahi simamisha
mpaka wakashinda vita hskuna baya lilitokea su ni fix tu.
 
Nakubaliana na maoni ya simplemind lakini ngoja nifafanue kidogo. Samahani kwa urefu wa hili jibu.

Kuna mizunguuko mitatu ya dunia yetu:
  1. Mzunguuko unaotupa usiku na mchana (mara moja kila masaa 24 about the north-south axis).
  2. Mzunguuko unaotupa majira ya mwaka (kulizunguuka jua, mara moja kila siku 365.25).
  3. Mzunguuko au m-yumbo wa hii North-South Axis (precessional rotation au the wobbling of the north-south axis) na huchukua miaka 26,000 kwa kila mzunguuko mmoja.
Sasa tuone kitatokea nini kama moja ya mizunguuko hii mitatu itasimama.

Kabla sijaendelea, ni lazima ujue kuwa kuna kanuni za fizikia kuhusu mizunguuko. Kanuni muhimu ni kuwa kitu kinachotembea kitaendelea kutembea mpaka kikutane na nguvu itakayokisimamisha au kubadili muelekeo wake. Swali lako linakosa mashiko kwa sababu hicho kitu (au dhoruba) kitakachotusimamisha ghafla kitamaliza uhai wote hapa duniani kwa hiyo haileti maana kuulizia kuwa sisi tutaathirika vipi. Ni sawa na kuuliza kitatokea nini kama unasafiri kwenye gari (la wazi au lililofunikwa) kwa kasi ya 200 km/saa na ukagonga ukuta au mwamba. Lakini, just as a non-serious academic exercise, ngoja nijibu.

1. Kusimama kwa mzunguuko wa kwanza:
Kwanza mabadiliko ya uhakika ya usiku na mchana yatakoma. Pili, tutayumba kwa sababu ile stability inayoletwa na huu mzunguuko (gyroscopic stability haitakuwepo tena). Kwa hiyo ingawaje hatutakuwa na mabadiliko ya uhakika ya mchana na usiku lakini majira yetu (kiangazi, vuli/masika) havitakuwepo. Jet stream itasimama na kuharibu kabisa hali ya hewa.

2. Kusimama kutolizunguuka jua.
Kama mkuu simplemind alivyosema tutadondoka kama embe kuelekea kwenye jua. Dunia yetu ni kama satelite ya jua. Tunabakia kwenye orbit yetu kwa ajili ya huu mzunguuko. Kama ilivyo tunapotaka kudondosha satelite zetu tunapunguza kasi yake basi itakuwa hivyo hivyo kwa dunia. Tutaangukia kwenye jua na hapo mchezo ndio utakuwa umekwisha.

3. Kusimama kwa precessional rotation (au Gyroscopic Precession).
Kwa wale wanaofuatilia maswala ya unajimu (Astrology) watajua kuwa Spring au Vernal Equinox (siku ambayo urefu wa usiku na mchana ni sawa) hutokea March 20 na wakati huo jua linakuwa kwenye mkusanyiko wa nyota (constellation) wa Pisces (au Samaki). Lakini kwa ajili ya hii Gyroscopic Precession, kila baada ya miaka 2,150 jua linahamia constellation nyingine (kutoka Pisces, to Aquarius, to Capricorn, to Sagittarius, to ...). Sasa hivi jua linapaswa kuwa limehamia kwenye constellation ya Aquarius (Maji). Huu mzunguuko utaendelea kubadili jua litakapokuwepo (constellation) na utaendelea kwa miaka 26,000 ili kurudi ulipoanzia. Soma zaidi kuhusu AGE OF AQUARIUS hapa - Age of Aquarius - Wikipedia, the free encyclopedia.

Sasa kama huu mzunguuko (gyroscopic precession) ukisimama basi siku zote Spring Equinox ikitokea jua litakuwa kwenye constellation moja tu na haitabadilika kamwe. Hii ina serious astrological implications ambazo sitazielezea zaidi. Pengine nimekwisha wapoteza wengi na hiyo sio dhamira yangu.

Mkuu neo1 upo lakini? Usiniulize swali la kinajimu tu.
Naona unguided process iliyoumba universe ilikuwa super intelligent
 
Jf ina watu wa kila aina asee...huu uzi unafikirisha sana ila watu wengi wamemkejel mtoa mada..asante mkuu kifyatu na wengineo mnajaribu kutuelimisha..!
 
Hapo ndo tutaruka chura vzr ila ickukute umelalaucngizi
 
Back
Top Bottom