charles lubigili
Member
- May 27, 2016
- 30
- 20
NASISI NI SEHEMU YA HIYO DUNIA TUTASIMAMA KAMA ILIVYOSIMAMA. LLKUNANGUVU NYINGINE INAYOTUWEKA KWEMYE USO WA DUNIA.
Inategemea na umelirusha kwa urefu upi kwenda juu, kwa mfano ukiwa kwenye gari lililo wazi kwa juu, linaweza kukurusha juu na ukirudi ukafikia chini, au mizigo inaweza kuruka juu ikaangukia chini kwa sababu imekuta gari lilishaondoka na haikwenda nalo kwa spidi sawa.
Ukishatoka nje ya gari basi mfano wako si sawa na wakwake...alivosema ukirusha chungwa ndani ya gari(na wewe unaruka ndani ya dunia)...ukirusha nje ya gari tayari Upo nje ya mfano.
Unaibua swali lingine, je, tuko ndani ya dunia au juu ya dunia?
Juu ya dunia
Umenifurahisha SanaMkuu usiombe. Maana dunia inatembea 107,200 km/h. Just imagine gari ikitembea Km 180 kwa saa watu wote humo ndani roho juu juu... So ikitokea dunia ikasimama ghafla wote tutarushwa hukooo, sijui hata tutatua wapi. Labda kwenye jua.
Hebu jaribu kufikiria unaendesha gari kwa speed 240km/h ambayo madirisha yamefungwa na ndani kuna sisimizi ambaye anaendelea na pilika pilika zake. ukisimama ghafla yule sisimizi atarushwa? Au atahisi chochote?
Hicho ndicho kitakupata ww kama dunia ikisimama ghafla.
Sasa hebu tuone kwa kifizikia:
Dunia ikizunguka na assume na ww kwa sababu upo duniani utakuwa unakwenda kwa speed ya dunia kwa hiyo:
Momentum = Mass x Velocity(Speed)
Mass ya ww kulinganisha na mass ya dunia ni ndogo sana sana so na assume ni 0 Kg ( kama vile mass ya sisimizi kwenye gari yako alivyo na uzito ambao ni kama zero tu)
Sasa M = 0 Kg( uzito wako) x speed ya dunia
Jibu ni kuwa momentum yako itakuwa ni zero kwa hiyo hata dunia ikisimana ni sawa na kusema ww hutahisi chochote maaana ww ni mwepesi mno kulinganisha na uzito wa dunia hivyo hautakuwa na momentum yoyote. Utakuwa sawa tu na yule sisimizi kwenye gari yako uliposimama hakuhisi kitu na ww hutahisi kitu kama dunia ikisimama.
Lakini nimejibu kwa ujumla tu maana dunia ina mizunguko miwili.
1) On its own axis
2) On its orbit
Wewe hujakuwa specific mzunguko gani unaotaka
japo kwa both cases the effect is the same
Atmosphere ni sehemu ya dunia, hivyo tupo ndani ya duniaMkuu maelezo yako ni mazuri na yana vutia japo yanaweza yakawa sio sahihi,umezungumzia sisimizi aliepo ndani ya gari but kumbuka viumbe vinapatikana kwenye uso wa Dunia na sio ndani ya Dunia.
Ebu toa maelezo huyo sisimizi akiwa juu ya gari kidogo unaweza ukakaribia kwenye ukweli
Dunia ikisimama ghafla "itamezwa" na jua kutokana na mvuto wa gravity jua.
Hahaha wewe jamaaa u made my day......!!!Mkuu usiombe. Maana dunia inatembea 107,200 km/h. Just imagine gari ikitembea Km 180 kwa saa watu wote humo ndani roho juu juu... So ikitokea dunia ikasimama ghafla wote tutarushwa hukooo, sijui hata tutatua wapi. Labda kwenye jua.
Mkuu kitaalamu dunia ikipungua speed yake angalau kwa nukta moja tuu basi oxygen itaganda nakuwa barafu hivyo hatutaweza kuishi na endapo itaongeza speed angalau nukta moja tuu basi maji yaliyoizunguka dunia yatafunika uso wa dunia pia hakutakuwa na uhai ..
Asante.
Atmosphere ni sehemu ya dunia, hivyo tupo ndani ya dunia
Kwanini uso wa dunia uwe juu ya crust na si juu ya atmosphere?Mkuu unaelewa vizuri structure of the Earth?
Binadamu na viumbe wengine tunaishi kwenye uso wa Dunia(Earth's Crust) na sio ndani ya Dunia.
Hiyo atmosphere unayosema ipo juu ya uso wa Dunia na sio ndani ya Dunia.
Unapozungumzia ndani ya Dunia,it means una deal na Mantle and Core.
kwa lugha ya fizikia centrifugal force ya mzunguko wa dunia balances gravitational force ya jua.hili jibu nimelipenda, kwa maana kulingana na speed ya dunia ina counterbalance force of gravity ya jua, ikisimama gafla yawezekana force ya jua ikawa kubwa ambapo automatical ni true ikaivuta dunia
kwa lugha ya fizikia centrifugal force ya mzunguko wa dunia balances gravitational force ya jua.hili jibu nimelipenda, kwa maana kulingana na speed ya dunia ina counterbalance force of gravity ya jua, ikisimama gafla yawezekana force ya jua ikawa kubwa ambapo automatical ni true ikaivuta dunia