Niseme tu Astrogers wanaamini kuwa haiba za watu na mivuto yao inategemea sana na mipangilio ya heavenly bodies wakati wanazaliwa (mimi naamini to some extent, sio yote). Sasa tuchukulie kama hii gyroscopic precession isingekuwepo basi ina maana pengine:
- Tusingekuwa na Yesu alie-inspire Ukristo.
- Tusingekuwa na Muhammad alieleta Uislam.
- Einstein, Hubble, au hata wewe na mimi tusingekuwepo kwa hali tuliyonayo sasa.
Ina maana matukio yote muhimu yaliyotengeneza dunia yetu ya leo (kuanzia enzi za kale) yangekuwa tofauti kabisa. Sijui yangekuwaje lakini yangekuwa tofauti. Pengine majipu yasingekuwa yanatumbuliwa au kusingekuwa na haja ya kutumbua majipu. The implications are enormous.
Sasa hivi tumetoka kwenye
Age of Pisces (fish) na tumeingia kwenye
Age of Aquarius (water bearer).
THINK:
Mkuu
neo1 do you think it is a coincidence that Yesu aliezaliwa during the
Age of the Fish kuwa his whole Ministry revolved around the
FISH? Wafuasi wake walikuwa wavuvi, miujiza yake ilihusisha samaki, kaulimbiu yake ilikuwa kuwavua wenye dhambi.
Je kama Yesu angezaliwa, kwa mfano, kwenye
Age of the Scorpion au Lion mambo yangekuwaje? Kungekuwa na ukristu? Au dini za
kikristu au
kiislam (kupitia nabii Issa bin Mariam au Yesu) zingekuwepo au zingekuwa kama tuzijuavyo leo? ....Think!