Mkuu usiombe. Maana dunia inatembea 107,200 km/h. Just imagine gari ikitembea Km 180 kwa saa watu wote humo ndani roho juu juu... So ikitokea dunia ikasimama ghafla wote tutarushwa hukooo, sijui hata tutatua wapi. Labda kwenye jua.

Itaturusha mpaka ulaya na wa ulaya waturushwa mpaka huku, kwahiyo tutakuwa tumefika ulaya bila kulipa nauli.
Kurushwa HAPANA labda mambo mawili yatokee kwa wakati mmoja:Itaturusha mpaka ulaya na wa ulaya waturushwa mpaka huku, kwahiyo tutakuwa tumefika ulaya bila kulipa nauli.
Duh! Wewe ni kiboko...Mkuu mbona ishasimama Mara nyingi, kwa spidi ya dunia ikisimama ghafla utarushwa kwa spidi sawa na yake then utaizunguka dunia na kuja kutua hapo ulipokuwepo
TheoryBig bang
Naona baada ya kubet Altc na Rmadrid jana ukaliwa bado huamini
Au mi naona Dunia ikisimama gafla ,nawe unashuka gafla unapanda mabasi ya ya mwendo Kasi ya DART unawahi zako kariako