Je, nini kitatokea kama Dunia ikisimama ghafla?

Je, nini kitatokea kama Dunia ikisimama ghafla?

Mbona dunia imesimama tangiapo?

Ingekuwa dunia ni kweli inazunguka mtu ukiruka juu usingetua pale pale ulipokuwa.
 
Naona wale wajuvi wa mambo wanalikwepa hili swali na kumshambulia mtoa mada. Anyways niko hapa nafuatilia post zenu na kucheka tuu
 
Kutokana na kanuni na sheria za mwendo sisi tutaendelea kwenda kwa mwendo kasi ambao dunia ilikuwa inakwenda nao kabla haijasimama. Kwa hiyo basi tutarushwa nje na ndiyo itakuwa kiama chetu.
 
Wewe ndio kipimo cha kufikiri...ama kweli kuitwa nyumbu ni halali yako!....this is free forum. .any one can contribute anavyoona kwake ni sahihi nyumbu ww!
 
Mkuu usiombe. Maana dunia inatembea 107,200 km/h. Just imagine gari ikitembea Km 180 kwa saa watu wote humo ndani roho juu juu... So ikitokea dunia ikasimama ghafla wote tutarushwa hukooo, sijui hata tutatua wapi. Labda kwenye jua.
Ndo utuambie tutatua wapi!
 
Hahahah hahahah..... Nime furahishwa na baadh ya majibu ya wengne humu, but swali ni zuri sn lipo ki sayansi zaid..... Ila wengne achen kumponda mtoa swali, sio bhang but anajua kufikir.... Coz hii ni application ya physics tu na issue za Motion Hasa Newton ana husika sn... So haja uliza kitu Nonsense hapana.... Km wewe hujui lets wait wajuz waje but sio ku mklash...
 
Unatua palepale kwa sababu bado unazunguka nayo, haikuathiri kwa chochote.
Je, ukiwa kwenye basi linalokwenda kwa 200km/h, ukawa unarusha rusha chungwa juu, je halitarudia mkononi?

Inategemea na umelirusha kwa urefu upi kwenda juu, kwa mfano ukiwa kwenye gari lililo wazi kwa juu, linaweza kukurusha juu na ukirudi ukafikia chini, au mizigo inaweza kuruka juu ikaangukia chini kwa sababu imekuta gari lilishaondoka na haikwenda nalo kwa spidi sawa.
 
Ukiruka unakuwa na speed ile ile sawa na dunia, hivyo unatua pale pale

Hizi theory ni za uongo, ukiwa kwenye gari lililo wazi unaweza kuruka juu ukakuta gari limekuacha ukadondokea chini, kwa nini isiwe hivyo kwenye dunia?
 
Hizi theory ni za uongo, ukiwa kwenye gari lililo wazi unaweza kuruka juu ukakuta gari limekuacha ukadondokea chini, kwa nini isiwe hivyo kwenye dunia?

hapo sasa ndo patamu sasa iv utaona wanakuja na mambo ya Gravity wakat kiuhalisia tunaona ukiwa kwenye chombo kinachotembea kw speed na ukaruka juu uwez kutua tena pale pale
 
mtu anat0a p0st kzembe utarushwaje wakati dunia ina cener of gravity ambay0 inavuta v2 vyote kuja chn

Hahaha !Bro bana! Hahaha! Mi nadhani hapa umemuonea aliyetoa hiyo kauli ya kulushwa ! Vitu vingi huonekana impossible mpaka ithibitike vinginevyo ! Nadhani unatembelea viwanja vya ndege ! Je ushaona ukubwa wa zile ndege ! Zinaendaje angani na kurudi kutua pindi rubani akiamulu hivyo ! Simple ! Watu wameweza ku overcome hiyo gravitational force ! Hata rocket kwenda nje ya orbit , au kuwa na jet zinazo safili kwa super sonic speed kunasibitisha unaweza ku defy gravitational force ! So bro think big ! Hata G huzidiwa ! Fikilia kwa nguvu na usidharau hoja ya mtu ! Kina isack walionekana vichaa kwa kuwa walijiuliza kwa nn jiwe linarudi chini ukilirusha na ndio wewe ukajua hiyo g
 
Back
Top Bottom