FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,882
- 43,772
Je, ile momentum iliyokuwepo itaturusha nje ya dunia kama mtu anavyorushwa kwenye kioo cha mbele cha gari?
Big bangJe, ile momentum iliyokuwepo itaturusha nje ya dunia kama mtu anavyorushwa kwenye kioo cha mbele cha gari?
Tuambie kwanza kuwa dunia unatembea kwani?Je, ile momentum iliyokuwepo itaturusha nje ya dunia kama mtu anavyorushwa kwenye kioo cha mbele cha gari?
Hapana ni post ya kufikirishaSi bure mmea umehusika hapa
Ndio maana kitwanga tukajua choice yake.Sasa humu ndani kuna baadhi kukicha tu cha ArushaSi bure mmea umehusika hapa
eti sayar ya jua je ipo hyo sayar hahaha elimu elimuHuwezi rushwa kwenye sayari ya jua hili yoyote bali utaondoka nje kabisa ya constallation hii ambayo jua ni miongoni mwa sayari hizo, sasa utatupwa nje kabisaaaaa utaelea kwingine huo