Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Mkuu mzungu ni mweupe mwenye asili ya ulaya. Hakuna aliyetoka Africa kwenda huko..ni hadithi za kusadukika
What else? Is the earth flat too?

Unaelewa habari ya kwamba watu wametokea Afrika ina ushahidi wa DNA?

Unataka kubishana na ushahidi wa DNA?
 
Hakuna kitu kama hicho,, ni story tu...kama walitoka Africa,,,walifikaje mabara mengine wakati technology hazikuwapo? na kama walitoka Africa mbona hawaendelei kuzaa mwafrika huko China, Japan. Au sehem zingine za jamii za watu weupe?ingekuwa ni kweli basi mzungu kwa mzungu angetoka mweusi,,au mchina kwa mchina mbona hatoki mweusi?
 
Nimekuuliza hivi, unataka kubishana na ushahidi wa DNA?

Hujajibu.

Ni kwamba hujaona hilo swali?

Umeliogopa?
 
Kila mtu ana uhuru wa kufanya vile anavyoona kwake ni sawaaah, na ni kweli kuzaa sio lazima ni hiyari ya muhusika. Khaaaaaaah
 
Hivi kwa nini somo rahisi kabisa hili lakini kuna watu wanataka kulazimisha wanavyotaka wao ndiyo iwe hivyo kwa kila mtu?

Hawa watu ni control freaks wanataka ku control maisha ya wengine au vipi?
 
Tena watu ambao hata hawawajui
 
Nimekuuliza hivi, unataka kubishana na ushahidi wa DNA?

Hujajibu.

Ni kwamba hujaona hilo swali?

Umeliogopa?
Na wewe nijibu kama ni hivyo mbona mzungu hazai mweusi? Na mweusi hazai mchina? hizo ni uzushi kama uzushi mwingine,,, kwahyo unataka kusema Adam na hawa walikuwa weusi? na walishushwa Africa?
 
Mkuu mzungu ni mweupe mwenye asili ya ulaya. Hakuna aliyetoka Africa kwenda huko..ni hadithi za kusadukika
Mkuu hii comment yako umeandika kwa kuangalia facts au habari za vijiweni unabisha tu hata kama hujui ..
 
Hili pia tatizo jipya.
Ni kahaba pekee ndy hapendi kuolewa..lakini sio kwa mwanamke kamili..kuolewa ni ndoto za kila mwanamke,,pengine tu wanachaguwa waume,hilo ndy tatizo...
tapatalk_1594332579359.jpeg

Type hii wapo wengi boss
 
Hivi kwa nini somo rahisi kabisa hili lakini kuna watu wanataka kulazimisha wanavyotaka wao ndiyo iwe hivyo kwa kila mtu?

Hawa watu ni control freaks wanataka ku control maisha ya wengine au vipi?
Mieeh sijawahi kujua why kuna kupangiana ktk life, hasa hapa kwetu Tanzania imekuwa km n sheria. Hususani mambo km haya mmmmh
 
Back
Top Bottom