Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Wote wangekuwa wanapenda watoto kungekuwa na ma-father na ma-sister? Ama unafikiri watawa wana ulemavu fulani?
Hapo ni kesi tofauti...hivi wale watawa na mafather wanagegeda?au kugegedwa?tuanzie hapo..
 
Kwa hiyo kwa mawazo yako unadhani kila mtu aliye nje ya utawa anagegedwa? Btw kwani mtu hawezi kufanya mapenzi kwa lengo la kustarehe tu... lazima iwe kwa lengo la kuzaa?
Wapo wengi mkuu,,,mfano mashoga,,wasagaji,,wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile,,, wanaotumia kinga,,wanaomwaga nje,,wote hao wanafanya mapenzi kwa kujistarehesha,,,kuna wanawake wangapi unakutana nao wanakwambiya fanya ,huku mbele naogopa mimba?lakini hakwambii sitaki mtoto,,atakwambiya either muda bado au hajapata mwanaume sahihi wa kuzaa nae,,,,sasa mwanamke au mwanamme kamili aseme mimi sitaki mtoto,,,tena ana over 35 huyo ni wakuogopwa kama ukoma..,,pana shida mahali
 
Sababu kwa nini mtu hataki mtoto ndio hutofautiana lakini usiseme hakuna mwanamke asiyetaka mtoto
 
Kwa hiyo kwa mawazo yako unadhani kila mtu aliye nje ya utawa anagegedwa? Btw kwani mtu hawezi kufanya mapenzi kwa lengo la kustarehe tu... lazima iwe kwa lengo la kuzaa?

Huyu naona hajawahi kutana na kina mzabzabina 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sie wazee wakuzima mihela kwenye papuchi ndio tunataka hao wanwake ambao hawataki watoto ....yaani sie nikugegedana tuu bila majukumu ya ada wala nini...tunatalii dunia tuu.
 
Nawachora tu. Mm binafsi maisha navyoyaona magumu uniambie nitafute mtoto. Hapana Mungu anisamehe tu, labda aniinue hapa nilipo kidogo nitawaza nioe. Nimlete mtoto duniani aje apate shida kusoma shule azieleweki kisa baba yake sina hela. Bora nife bila chata ila sileti mtoto aje aishi maisha ya tabu. Huyo Dada yupo sahihi kwa mtazamo wake.
 
Aisee kweli kabisa ....watu wenyewe sie maisha yamekaa kushoto kuleta mtoto nikumtesa tuu....hizi sera za ujui mtoto atakuja kuwa nani huko mbeleni nikudanganyana tuu. Maananili mtoto awe na future nzuri lazima mzazi amuandalie hiyo future.

Hela ya mlo simple kabisa kama ugali maharage mpaka kichwa kiume alafu ndio ulete mtoto ....kujitakia stress tuu
 
Aise na me nitaonekana wa ajabu sana,katika malengo yangu ya mbeleni niliyojiwekea sitakuwa na family kwa sasa nitawafanya wadogo zangu kama watoto wangu hadi pale watapokuwa na maisha bora
Naweza kuonekana mwendawazimu lakni huu ndio msimamo wangu Sitakuwa na family kabisa
 
Mmmh! Mkuu una umri gani? Yamkini bado uko 20s ukifika 30s utajua umuhimu wa kuwa na familia japokuwa neno langu sio sheria.
Nawachora tu. Mm binafsi maisha navyoyaona magumu uniambie nitafute mtoto. Hapana Mungu anisamehe tu, labda aniinue hapa nilipo kidogo nitawaza nioe. Nimlete mtoto duniani aje apate shida kusoma shule azieleweki kisa baba yake sina hela. Bora nife bila chata ila sileti mtoto aje aishi maisha ya tabu. Huyo Dada yupo sahihi kwa mtazamo wake.
 
Huyo Dada yupo sahihi kwanza inategemea amekulia wapi inawezekana amezaliwa au amekulia ulaya nchi ambayo sio lazima kuzaa. Cha pili ni kwamba kuzaa sio kushinda maisha kwahiyo huwezi sema umemaliza kazi hapana huwezi kuwa salama ukishakuwa na watoto lazima stress zitakuvaa wakati wowote kumbuka kuna ajali na vifo na maradhi unaweza ringa kwamba umezaa wakafa au wasikukumbuke uzeeni.. Ukweli ni kwamba maisha hayana formula huwezi jua furaha zako zitatoka wapi inawezekana ungezaa au usingezaa ndio ungekua na furaha kwa hiyo uwe umezaa au hujazaa jifunze kuwekeza ili usiwatese watoto uzeeni na ikitokea watoto wakafanikiwa na wakakusaidia basi hiyo ni Zawadi kutoka kwa Mungu. Kikubwa mtangulize Mungu usikimbilie tu kuzaa kwenye uzinzi kiss umri Muache Mungu afanye maneno ya watu yasikutishe kila kitu kina kusudi.
 
Dunia ina watu bilioni 7. Siyo kila mtu anatamani unachokitamani wewe. Usilazimishe. Juzi huko Malawi, kuna mtu kakataa uwaziri wa sheria. Usiseme watu wote bilioni 7 tuko sawa. hii ni sawa na wale wanasema kuwa ni lazima Babu Tale ajenge nyumba nzuri kijijini kwao. Siyo lazima, nilisema juzi hapa jukwaani. Tale ana maamzi yake pia.

Yaani kama kuna kitu tunatakiwa binadamu tujifunze ni kuwakubali wengine na kukubali kuwa hatuwezi kuwa sawa, unaweza kumwambia mtu tabia yako ni mbaya but its fine just be ulivyo, kuelewa na kukubali ni art ilinayowashinda wengi.

Naunga mkono hoja sio kila mtu anapenda kuwa na mtoto and its very fine, sisi tunaopenda tupende, wasiopenda tuwaache kama walivyo, its not necessary wakawa na matatizo.
 
Nijuavyo mimi wengi wanataka watoto, lakini yawezekana kwa sababu fulani, mtu atasema hataki watoto.
Huyo mdada ukifuatilia sana yawezekana alisha toa mimba vya kutosha na kuharibu kizazi au tayari wamesha kiondoa kizazi chake. Sasa ili kukwepa maswali, anajifariji kuwa hataki mtoto.
Piayawezekana ni kirukanjia na anaona kuwa na watoto kutamshishia adhi yake ya kutumiwa na wanaume (Ukahaba)
Watu hawazai watoto kwa ajili tu ya kuwasaidia hapo baadae, bali ni agizo la Mungu kuwa watu wazliane.
Sio kila mtu ameumbwa kuwa mama. Ndio maana matukio ya kikatili yanatokea, na hii ni kutokana na mitazamo yetu ya kiafrica kwamba lazima kila mtu awe na mtoto. Personally najua wadada 2 wasiotaka watoto na kaka 2. Tena wakaka wameoa na hawataki watoto.
 
Mkuu sio kwa age yake huyo Dada, ,hapo ni jioni tayari...ameshahangaika sn tu,,bila mafanikio,,ndy analeta kauli hizo...hakuna asiyetaka mtoto mkuu,,,wapo watu wana kila kitu lakini wanaumia sn sababu hawana watoto,,,hivi u wanaume wako upo wapi kama huwezi kudunga mwanamke mimba?hivi uanamke wako upo wapi kama huwezi kufunga mimba?hicho kitu kinawaumiza sn mkuu.,..nikupe mfano mmoja,,,yupo Dada Fulani kaozesha mwanawe kwa jamaa Fulani anapesa zake,,,huu ni mwaka wa kumi na tano jamaa hajapata mtoto,,,wamekwenda kupima hospital kaonekana mume ndy ana matatizo ya uzazi..sasa tabu inakuja mke anataka mtoto,,mume anamwambiya tuishi kwa kulea watoto wa watu,,,mwishowe mama Mkwe akamshawishi mwanae wa kike adai talaka,,,ili aachwe ,,akaolewe pengine aweze kuzaa,,,kesi ipo bakwata,,jamaa hatoi talaka,,,mke kaamua kuacha kila kitu kwa mumewe nyumba,,magari kaacha sababu tu,,na yeye aitwe mama,,,kwahyo mkuu Mimi siamini kama kuna watu hawataki watoto,,,unaweza usihitaji mtoto kwa kipindi Fulani cha maisha,,,lakini sio kuanzia miaka 35 useme sihitaji mtoto,,ni kauli ya kuangaliwa kwa jicho la tatu... Kwa kifupi ni kauli ya kukata tamaa
Kama mumewe alikua anapesa, walishindwa nini kupandikiza?

Hizo ni stories za vijiweni za kusukumia kahawa ishuke.
 
Sababu kwa nini mtu hataki mtoto ndio hutofautiana lakini usiseme hakuna mwanamke asiyetaka mtoto

Kuna siku nilikua napiga story na mzee mmoja mtu wa makamo na msomi ambaye hua anafanya tafiti kwenye maswala ya maendeleo ya jamii. Tukawa tunajadili swala la kuwa na watoto. Yule mzee aliniambia kitu kilichonifikirisha sana.

Yeye aliniambia, watu wengi hasa katika nchi zetu za Kiafrika wanazaa watoto kwa malengo mawili:
1. Wanawaona watoto kama bima ya uzeeni
2. Presha kutoka kwa jamii inayowazunguka.

Nilipomuuliza ni kwanini jamii inapenda kuona kila mtu akiwa na watoto alinijibu "Unapokua umefikisha umri wa utu uzima, sisi kama jamii tunataka uwe na watoto ILI NA WEWE UTESEKE KAMA TUNAVYOTESEKA SISI!!! Sio sisi wenzio tuwe tunateseka na pilikapilika za malezi, halafu we mwenzetu unainjoy maisha tuu bila stress zozote".
 
Back
Top Bottom