Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
700
1,611
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you.

Nimevunga kama vile am not interested ila yamenifika shingoni πŸ˜…

He is cute thoughπŸ₯°πŸ₯°

Anafaa kupelekeshwa, nimeamua ni make the first move potelea pote anione malaya Sijui niniπŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜… , sitaki kuishi na regrets by the way we only live once.

Na kujaribu na kutake chances na ku enjoy ni part ya maisha πŸ˜‹

Kesho ninahakikisha huyu kijana nampata πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ’¦
 
Wala hatuwaoni malaya kama mnavyo dhani, mara nyingi tunakuwa happy kweli kuanzwa na mdada, kwenu inakuwa ni kazi ndogo sana kisha sisi ndio tunaendeleza.
 
Muwekee mitego.. ukiona hajiongezi aisee achana nae.. He'll disappoint you.

Mwanaume RIJALI huwa akiwekewa mitego miwili mitatu lazima aingie kwenye mfumo.

Ukiona linachekacheka ujue kuna shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…