hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 853
- 2,037
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.
Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?
Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!
Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.
Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "
Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.
Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.
Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.
Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.
Finally naweza sema kwamba
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.
Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?
Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!
Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.
Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "
don't learn to hack , hack to learn"
any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaaHacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.