stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 15,842
- 22,961
Nakazia 📌📌...MUAMINI YESU KISHA FANYA KAZI MKUU MALI ZINGINE MTU AKIKUAMBIA ANAVYO PATA UTAZIMIA.
HERI MIA YA KRISTO HUKU UNAAMANI KULIKO FEDHA ZA UDHALIMU HUKU UNAISHI KWA HOFU.

Ukisikia uchawi ndio huu sasaMtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000
Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no
Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi
Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM
Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote
I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Mgao wa DP WORLDMtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000
Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no
Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi
Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM
Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote
I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
HowTaja Bei yako sasa
Muache awawakilishe.. kwani Millard sio mtangazaji?.. usikariri maishaMtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000
Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no
Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi
Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM
Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote
I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Mm nineshafunga Uzi bhna mtajua wenyweMuache awawakilishe.. kwani Millard sio mtangazaji?.. usikariri maisha
Hiyo Ni Roho ya umasikini mkuu..
Safi sana!Mbona model ya zamani hyo bro njoo show room kwetu zipo 2 kwa 190m
0659756647 calls/whatsapp
😀Hzo zenu feki
Nyerere alijenga taifa la watu wajinga mno eti unaandika wasomi wa udsm tu hawana maisha...mimi sijafika huko udsm nimeishia darasa la saba tu ila niletee profesa yeyote aliesomea mambo ya biashara halafu wote tupewe mitaji sawa kila mmoja milion 5 halafu urudi baada ya miaka miwili uone kati yangu mimi nayeye nani atazalisha faida kubwaMtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000
Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no
Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi
Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM
Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote
I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Ungekuwa unasafirisha mbao usingekuwa mtu wa wivu hivyoKjn mwezio nasafirisha mbao nnje ya nchi unadhani mm wew
Yule Masai ankha mitaa gani mm pia nafahamu arushakuna madon wa maana Sasa Ni Masai yupi na anakah nae mita ganiSiyo lazima uwe msomi wa udsm ndo umiliki hiyo chuma, hizo zinamilikiwa na wafanya biashara ambao wanaelimu ndogo tu wengine waliacha shule, Arusha kuna masai na rubega yake anaendesha V8 LC300 VXR ya mwaka 2022 anakuja nayo mashineni kubebea magunia ya pumba sijui huwa anafuga kuku ile chuma imesimama mahali yake siyo mchezo
Ulipata ile ajira ya ualimu uliyokua unaifukuzia mkuu?
Swali lingine...unafundisha kiswahili na civics au english...!?Mama hapendi hizo nimemnunulia Porsche Cayenne na range velar na Evoque 2023 za kutosha. Isitoshe nimemnunulia nyumba masaki na kumjengea ghorofa mbweni. Pia nimemnunulia nyumba ya usd million 8 palm island Dubei. Pia nimemnunulia apartments Monaco, Zurich, ibiza, malibu, Aspen, bahamas, st bars, Beverley hills na montecito jirani na Harry na Meggan.
Nimewaajiri housegirl 10 kwa ajili yake na wajukuu zake.
Swali jingine nyau ww
Wee Ni mjing Sana inaonesha hyo milion tano kwa professor associated anakunja ndani ya weeki moj kwa paper moja tu ya research achalia mbali consultantShule nikafanye nini wewe mjinga? Hauwezi kunifananisha na profesa yeyote wa biashara na uchumi hapa bongo kwasababu nimejiajiri na nina uwezo wa kuizingusha milion 5 ndani ya mwaka mmoja ikazaa milion 5 nyingine na zaidi