Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Tujikite kupambania hali zetu. Hawa watanzania wanaopambania ugali wso siyo vyema kuwaseta hivi.

Tukubali kwamba siyo kila mtafutaji hupata lakini atafutaye hachoki hadi apate.

Kudos Kitenge
 
Pole sana, nafsi yako imejaa makovu mengi na vidonda vingi vya umasikini, chuki, husuda, fitina, wivu na makorokoro kibao ya hovyo. Hakika unahitaji msaada wa kiroho uweze kuondokana na mawazo na fikra ulizokuwa nazo.

Zamani wakati tunafunda ndoa tulikuwa tunaazima suti na mashera labda na yeye kaazima kwa mjimba wake halafu siku hizi kuna magari ya kukudi kibao
 
Lowasa alimwambia mwalimu Nyerere kuwa tunaweza kuwa tunalipwa mshahara sawa ila wewe ukajenga ila Mimi nikaanzisha biashara.Ama mwingine akalipwa akanywa pombe halafu mwingine akanunua mashamba.Mwalimu alikaa kimya mda mrefu.
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Dp weld
 
Big NO! Big NO! Nchi yeyote inayoachia raia kuishi maisha ya juu huku kipato chao hakijulikani inakaribisha uharamia. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuhoji umuliki wa mali wenye mashaka.
Aiseee mungu akubariki snaa kwa kuunga hoja yangu mkono

Watanganyika ni wajinga mno mtu alihoji Jambo anaonekana ana roho mbaya na wivu wakt siyo Kweli

Hili taifa hatujafika huko mtangazaji ajinunulie gari la milion 300plus hkn kitu kma hicho
 
Lowasa alimwambia mwalimu Nyerere kuwa tunaweza kuwa tunalipwa mshahara sawa ila wewe ukajenga ila Mimi nikaanzisha biashara.Ama mwingine akalipwa akanywa pombe halafu mwingine akanunua mashamba.Mwalimu alikaa kimya mda mrefu.
Ushahidi k wa Hilo liko wapi mnakaa vijiwe kutungu story za uongo lini lowwasa alitamka hayo maneno je ulikuwepo hapo walivyo kuwa wanajibizana na mwalimu Nyerere

Acha utapeli mzeee
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Bandari ile we acha tu tukae kimya
 
Be positive sio lazima Mtu afanye kazi Moja ana Kitenge tv , ana maulidkitenge .com nenda kaangalie makampuni yalio sponse Kitenge tv hayo ni baadhi tu ya yanayo fahamika ,je kama ana mashamba kijijini kwao huko analima tutajuaje
Ongezea hapo ana nyumba za kupangisha huyu moja ipo kijichi pale kituo cha zahanati
 
Tafuta hela ndugu, kwo mtu asinunue gari mpaka akuonyeshe amepata wapi pesa, wewe ndo wakuchunguzwa na mamlaka husika
 
Mtangazaji maulid kitenge amepost gari yake Aina ya v8 lc 300 series ya mwaka 2023 zaidi ya USD $ 216,000

Sasa unajiuliza Ni mtangazaji wa taifa gani anamiliki gari ya Aina hyo ya dhamani kubwa ? Hata watangazaji wa BBC na fox news hawana magari ya zamani hzi no

Ni hapa Tanzania tu ndio Kuna watangazaji wanamiliki Mali kubwa kuliko vipato vyao halisi

Zote tunajuwa kuwa Kazi za utangazaji na uhandishi wa habari hazina mkwanja mrefu kuzidi watu engineer au hata ma finance manager wa mashirika makubwa ila hapa kwetu katangazaji a form four au a form six leaver failure ana maisha hata kuliko msomi wa chuo kikubwa Cha UDSM

Nadhani Tra hawafanyi Kaz zao ipazavyo Ni vyema TRA, TAKUKURU ,twamuhoji amezipata wapi Mali hizi na kiwango Cha Kodi anacholipa ktka biashara zake Kama Ni sahihi hakwepi Kodi zozote

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka hakika khaaaa!!!!View attachment 2881344
Watangazaji wengine wazibuliwa mitaro hiko ughaibuni
 
Akili kubwa huongelea maendeleo.

Akili za kawaida huongelea matukio.

Akili mbovu huongelea watu.
 
Back
Top Bottom